Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Pata huduma zifuatazo" matibabu na chanjo kwa mifugo, tunasimamia miradi ya mifugo, tunatoa Ushauri kwa wafugaji, tunadesign mabanda ya mifugo, huduma ya uhimilishaji, Elimu na Vitabu vya mwongozo bora wa ufugaji, mbegu bora za mifugo +255746031005 KARIBU SANA AFYA MIFUGO AGROVET KIBAHA PICHA YA NDEGE

SUNGURA AINA YA CHINCHILLA

Sungura Aina ya CHINCHILLA ni Aina ya sungura wapole na watulivu wenye sifa zifuatazo. ■Wanafugika vizuri ■Wapole na wavumilivu ■Wanauwezo wa kuzaa watoto 6-9 ■Wana rangi ya kijivu iliyokolea ■Wanakua haraka ■Wanauwezo mkubwa wa kulea watoto ■Wanaweza kutumika kwa nyama, manyoya, Mkojo wao na kinyesi chao na kama pambo nyumbani. Wanaweza kuishi kwa miaka 5-8 ■Wastani wa uzito wao wakiwa wakubwa kilo 4- 5.5Kg. Jifunze zaidi kila siku kupitia kurasa zetu http://www.afyamifugo.blogspot.com/ http://www.facebook.com/farmersplatform/ http://www.instagram.com/farmers_platform/ KARIBU UJIPATIE SUNGURA BORA NA HUDUMA BORA ZA KITAALAM. Dr NgogoR 0763222500 Farmers Platform PATA MAARIFA FUGA TAJIRIKA ~SHARE NA WAFUGAJI WENZAKO~

NG'OMBE BORA WA MAZIWA FOR SALE

JIPATIE MITAMBA BORA  YA NG'OMBE WA MAZIWA Umri = miaka 2 Heifer Hali yake mwa sasa=  Hana mimba Aina = Friesian Uzalishaji wa maziwa= Mama ana Record nzuri Mawasiliano Simu 0763222500 Email afyamifugo@gmail.com UNGANA NASI ZAIDI KUPITIA http://www.instagram.com/farmers_platform/ http://www.facebook.com/farmersplatform/ http://www.afyamifugo.blogspot.com/ https://farmersplatform.site123.me/

MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA 2018

NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2018 EXAMINATION RESULTS TAZAMA HAPA link 1 https://www.necta.go.tz/results/2018/psle/psle.htm TAZAMA HAPA link 2 https://www.necta.go.tz/results/2018/psle/psle.htm psle.ht MPANGILIO WA HALMASHAURI KWA UBORA WA UFAULU https://www.necta.go.tz/files/MPANGILIO%20KATIKA%20HALMASHAURI-MANISPAA_PSLE2018.pdf MPANGILIO WA MIKOA KWA UBORA WA UFAULU https://www.necta.go.tz/files/MPANGILIO%20KATIKA%20MKOA-PSLE2018.pdf

SUNGURA AINA YA NEW ZEALAND WHITE

Sungura Aina ya New Zealand White ni aina maarufu zaidi. Ni sungura wazuri (white meat) wenye sifa zifuatazo

DHIBITI MAGONJWA YA MINYOO KWA MIFUGO

~■WORMS■~ Afya ya Mifugo ~| Afya ya binadamu ~| Afya ya jamii. Tumia sekunde 30 kujifunza kitu like page yetu jifunze Ufugaji bora kila siku.  Magonjwa ya Minyoo yanaweza kuzuilika/Kutibika kwa wakati ili kuimarisha afya nzuri kwa mifugo na binadamu~ na  kujihakikishia uzalishaji wa mifugo ulio bora. ~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~ 

MAGONJWA YA MIFUGO

Animal diseases account for more than  20% loss in food production. Take NOTE, Keep your animals healthy to ensures the safety and sustainability of our food systems. Keep in touch  step by step #ReSta AgroVET  PATA MAARIFA FUGA TIMIZA MALENGO Magonjwa ya Mifugo yanaweza kuchangia hasara/ upungufu wa chakula zaidi ya asilimia 20.  Chukua tahadhari...Fuga na ReSta AgroVET Hatua kwa Hatua.  http://www.instagram.com/resta_agrovet/ http://www.facebook.com/farmersplatform/ http://www.afyamifugo.blogspot.com/ ReSta AgroVET  afyamifugo@gmail.com  0652515242  0763222500 *FOLLOW PAGE HII JIFUNZE UFUGAJI WENYE TIJA NA MBINU NYINGI ZENYE UWEKEZAJI KIDOGO FAIDA KUBWA*

PATA MAARIFA, FUGA, TIMIZA MALENGO

■Inahitaji mfugaji mwenye NIA na uthubutu, mwenye MAARIFA SAHIHI juu ya ufugaji na uwepo wa  DAKTARI WA MIFUGO. Ili kuweza kufuga kwa tija na kufikia malengo ndani ya muda mfupi.  ■Kuna changamoto kubwa kumpata mtaalam/Daktari wa mifugo kwa wakati. Tumia fursa hii kufuga na ReSta AgroVET Ili kuweza kukutana na wataalam wa mifugo popote ulipo.  ■Pia kuna changamoto kubwa kufuga kwa tija ni Vema ukajipatia Kitabu cha Mwonngozo Bora Ufugaji wa Nguruwe, Kuku, Sungura, Samaki, Ng'ombe N.K .  Vitabu vyetu vimeandaliwa kitaalam na kwamaelezo rahisi ili kukusaidia mfugaji na kukupatia dira uweze kufuga kwa tija Hatua kwa Hatua. Vinapatikana popote ulipo Vinakufikia.  《WAHI MAPEMA JIPATIE NGURUWE BORA KABISA》  ■By Dr NgogoR ReSta AgroVET■ Follow link hizi kujifunza mambo mengi na kupata taarifa kuhusu Ufugaji bora. http://www.instagram.com/resta_agrovet/ http://www.facebook.com/farmersplatform/ http://www.afyamifugo.blogspot.com/ ...

CHANGAMOTO NA NJIA MBADALA KATIKA UFUGAJI

SABABU ZINAZOFANYA WAFUGAJI/WAJASIRIAMALI WENGI, KUSHINDWA  KUFIKIA MALENGO?* 1. *MAARIFA YA KUTOSHA/ UJUZI SAHIHI.* Watu Wengi wanakimbilia ufugaji/kilimo baada ya kuona majirani na marafiki zao wamepata mavuno bora na yenye faida. Watu wa aina hii hawatengi muda wao wa kujifunza kuhusu mienendo ya soko na mahitaji na uzalishaji wa bidhaa na mazao ya mifugo.

(AI) UHAMILISHAJI/ Artificial Insemination

*KWA WAFUGAJI SOMA HII, PATA MAARIFA KUHUSU VITU VINAVYOWEZA KUKUONGEZEA FAIDA KWENYE KAZI YA UFUGAJI .* *(AI) UHAMILISHAJI/ Artificial Insemination* inajulikana kwa wafugaji wengi kama AI, ni moja ya mbinu za kuzaliana ambazo zimechangia katika maendeleo ya sekta mifugo hasa katuka sekta ya maziwa katika nchi zilizofanikiwa kwenye ufygaji wenye tija na faida kubwa. Mbinu ya AI  huanza na kuchagua ng'ombe wenye afya nzuri, ambao hawana ugonjwa wala kilema cha aina yoyote na wenye uwezo wa kuzalisha mazoa yake kwa kiasi kikubwa cha ubora wa juu. Wafugaji/ Wakulima wanashauriwa kutumia mbegu zilizothibitika kutoka kwa mifugo wazazi walio thibitika ambao wanapatikana kutoka vituo vya AI na watoa huduma waliosajiliwa. ✅ *Faida za Uhamilishaji/AI* 1.Kuzuia magonjwa yanayoweza kuenezwa kutoka kwa dume. 2.Kiasi cha mbegu nyingi kinaweza kuhifadhiwa kwa muda mrefu na kwa gharama ndogo ili kuwezesha upimaji mkubwa na uteuzi wa ng'ombe bora. 3.Inaimarisha na kuboresha maen...

SOMA, FUGA, TAJIRIKA

 SOMA, FUGA, TAJIRIKA     *ReSta AgroVET* Jina la kitabu: *MWONGOZO BORA UFUGAJI WA KUKU* ___________________ *Kinahusu nini?* Ni kitabu kinachohusu ufugaji wa kuku wa aina zote;   *Kuku wa mayai (layers)*  *kuku wa nyama (broiler)*  *kuku wa kienyeji*   *kuku chotara* _____________________ Kimeandaliwa na: *Dr Riziki Ngogo (DVM)* _____________________ *Utangulizi* _______________ _______________ Kitabu hiki kimeandaliwa ili kiwe *mwongozo bora* kwa ufugaji wa kuku wa aina zote, Layers(kuku wa mayai), Broiler (kuku wa nyama), Kienyeji na Chotara. Kwa kufuata mahitaji ya ujuzi/maarifa yanayohitajika ili kuleta tija katika ufugaji wa kuku. ______________ *Jifunze na pata maarifa*/ujuzi wa kutosha kupitia nyenzo hii kwa kusoma na kuelewa vizuri. _________________ Faida ya Kitabu hiki mbali na *kukuonyesha njia juu ya nini kifanyike*, pia kitakupa mwongozo wa *namna unavotakiwa kufanya Hatua kwa Hatua*. _________________ Ka...

WHAT EVERY CHICKEN NEEDS

What Every Chicken Needs Raising chickens seems fairly simple, right? Well, yes, that’s actually mostly true (assuming you’re prepared to do some work now and then). But with chickens come needs, as with any animal you’re caring for. What does every chicken need to be happy and healthy? It may sound obvious, but here is what every chicken needs. Warm Coop/Housing Chickens like space to run around, but they need a safe place to return to for roosting every night or while laying. Inside that coop then you’ll want to make sure there are comfortable nesting boxes set up to allow the chickens to lay to their heart’s content. However, just because you provide nests doesn’t mean you’re done. Every coop should also have a roosting bar placed high up. Not all chickens will want to roost high up, but it’s good to give the option as chickens in the wild generally prefer to sleep in trees and such. The importance of the coop is magnified during the various seasons. If it’s cold ou...

Sifa za Dume la Mbuzi/Kondoo

Dume bora awe na sifa zifuatazo:- Ili kuleta tija katika ufugaji wa nbuzi/ kondoo kwa sababu uzalishaji au nusu ya kundi la mbuzi au kondoo mwonekano wake wa leo umetokana na dume lililotumika katika uzalishaji shambani kwako.

UFUGAJI WA KUKU WA ASILI KWA FAIDA

A Little education may help to improve your poultry farming. 🥚🐓Ili  kuongeza uzalishaji wa kuku bora katika mradi wa kuku ni muhimu kutumia kuku wazazi wazuri na wanaotaga mayai mazuri  kwa ajili ya maendeleo ya aina ya kuku wazuri bandani kwako.

FAHAMU KUHUSU UFUGAJI WA NYUKI

*UFUGAJI WA NYUKI KWENYE MIZINGA* 🐝🐝🐝🐝🐝🐝🐝 Nyuki ni chanzo cha uzalishaji wa asali 🐝Ufugaji nyuki (au *apiculture*,  jina limetokana na neno la Kilatini apis= nyuki)  🐝Apiculture ni ufugaji wa nyuki wa asali unaohusisha utengenezaji wa mizinga ya nyuki, mara nyingi ikiwa ni pamoja na kuwazalisha nyuki kwa makundi toafauti tofauti. 🐝 Mfugaji wa nyuki (au apiarist) hufuga nyuki ili kukusanya asali na bidhaa nyingine zitikanazo na ufugaji wa nyuki.  🐝Eneo ambapo nyuki wanahifadhiwa au kufugwa huitwa "apiary" 🐝Asali hutumika kama chakula pia inajulikana kuwa na thamani ya dawa. Inajulikana kuwa muhimu sana katika matibabu ya matatizo mbalimbali ya wanadamu kuhusiana na mmeng'enyo wa chakula yaani  digestion, ugonjwa wa kuhara kutapika, magonjwa ya  tumbo na ugonjwa wa ini. 🐝 Utafiti wa kisasa unaonyesha kwamba asali: 🐝Inazuia ukuaji wa bakteria ya mdomo Inatengeneza layer mdomoni na  kwenye koo na hupunguza ...

DOG HEALTH

General Principles of Disease Control in Dog Practical control of infections disease in dogs and cats depend on: 1.Vaccination ProgrammeMost vaccines protect dogs and cats against development of severe clinic disease, but do not protect the animal against infection. 2.Removal of the animals from the group manifesting clinical signs of infections disease 3.Detection and removal of asymptomatic carriers by using available diagnostic tests 4.Young susceptible animals should be isolated from any remaining unidentified carriers until fully immunized 5.Attention to sanitation and ventilation to control infectious agents. UFUGAJI NI MAARIFA
TUNATOA USHAURI HATUA KWA HATUA KUHUSU UFUGAJI, HUDUMA ZA MATIBABU KWA MIFUGO, TUNABUNI RAMANI ZA MABANDA YA MIFUGO KULINGANA NA AINA YA MIFUGO, MAFUNZO YA MBWA, UFUGAJI KWA MTU BINAFSI NA VIKUNDI HUDUMA ZA CHANJO KWA MIFUGO,KANUNI/FORMULA NZURI ZA VYAKULA VYA MIFUGO TUNASIMAMIA MASHAMBA YA MIFUGO (FARM), TUNATOA MCHANGANUO WA FEDHA UNAOHUSIANA MIRADI YA UFUGAJI 0763222500

PATA MAARIFA FUGA TAJIRIKA

SABABU ZA KUKU KUNYONYOKA MANYOYA

_UFANISI WA KUKU_ Fahamu kuwa, kwa kawaida kuku hunyonyoka manyoya na kuota manyoya mapya  katika vipindi tofauti vya ukuaji wa kuku. *_Moulting_* Kunyonyoka manyoya na kubadilisha manyoya mapya hutokea kuku akiwa na umri wa kianzia wiki ya 4-5, wiki ya 8, Wiki ya 13, Wiki ya 20. Pia angalau mara moja kwa kila mwaka akifikia umri wa utagaji. Visababishi vingine vinavyochangia kunyonyoka manyoya na kuota manyoua mapya ni pamoja na _mabadiliko na upungufu wa chakula, mabadiliko ya kimsimu ya hali ya hewa, mabadiliko ya ghafla ya mwanga_ n.k Tambua kuwa kunyonyoka manyoya kunaweza kuathiri ufanisi wa kuku katika ukuaji/kuongezeka uzito na utagaji, hivyo unashauriwa kufanya yafuatayo, _1. Punguza stress kwa kuku._ _2. Tumia chakula bora chenye protein ya kutosha._ _3. Epuka mabadiliko ya ghafla kwenye mwanga, chakula n.k._ ●By Dr Riziki Ngogo      0763222500    #ReSta AgroVET    #FARMERS Platform    # INTERCHICK- ...

JIWE LA MADINI/ MINERAL BLOCK

FARMERS PLATFORM PATA MAARIFA, FUGA, TIMIZA MALENGO Bonyeza hapa kutazama bidhaa Kwa nini Jiwe la Madini ni muhimu kwa Wanyama? Kwa kukosekana kwa chumvi chumvi na madini; hamu ya kula hupungua, ukuaji hupungua, uzalishaji wa maziwa na nyama hupungua, matatizo ya uzazi yanaweza kupatikana, mfumo wa kinga (mfumo wa ulinzi) hudhoofika na wanyama hushambuliwa na magonjwa. Kukosa madini haya kunaweza kupeleka tabia zifuatazo kwa wanyama; kula na kulamba vitu visivyo vya chakula (jiwe, udongo, mfupa, sachet, nguo, nk)  Wanyama hutumia  JIWE LA MADINI/ MINERAL BLOCK Mfululizo kwa ajili ya kufidia kiasi Cha madini kilichopungua mwilini. Kesi za kuhara zinazotokana na tabia hizi pia huzuiwa ikiwa mnyama atapata madini inavyopaswa. Kiasi cha Matumizi: matumizi ya kila siku kwa MINERAL BLOCK;  Ng'ombe kila siku 80 gr / siku,  Kondoo, mbuzi 5-15 gr / siku. Bonyeza hapa kutazama bidhaa Why Mineral Block in Animals? In the absence of salt and mineral matter; appetite decreases, g...

UFUGAJI WA NGURUWE

*UFUGAJI WA NGURUWE (PIG FARMING)* 🐖🐖🐖🐖🐖🐖🐖🐖 Watu wengi wameanzisha miradi ya ufugaji lakini wamejikuta wameingia kwenye vikwazo vingi vinavyo warudisha nyuma na kushindwa kufikia malengo na kilele cha mafanikio kwa muda uliopangwa. *Suluhisho kubwa ni kupata ujuzi wa muhimu unaotakiwa/hitajika kwa muda mwafaka kabla na wakati wote wa uendeshaji wa miradi ya ufugaji* UJUZI HUO NI PAMOJA NA VITU MUHIMU VILIVYOTAJWA HAPA

DHIBITI MAGONJWA YA MINYOO KWA MIFUGO

~■WORMS■~ Afya ya Mifugo ~| Afya ya binadamu ~| Afya ya jamii. Tumia sekunde 30 kujifunza kitu like page yetu jifunze Ufugaji bora kila siku.  Magonjwa ya Minyoo yanaweza kuzuilika/Kutibika kwa wakati ili kuimarisha afya nzuri kwa mifugo na binadamu~ na  kujihakikishia uzalishaji wa mifugo ulio bora. ~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~ 

UFUGAJI WA SUNGURA

SIFA ZA BANDA ZURI LA SUNGURA                                  i.             Liweze kuingiza hewa ya kutosha                                ii.             Liwe na miundombinu inayorahisisha wakati wa kusafisha                               iii.             Lisiwe na ncha kali (weka wavu kwenye sakafu)           ...

Farmers Platform


Minyoo kwenye mbuzi (cyst from goat)

PLASTIC BAGS

PLASTIC BAGS
Mifuko ya plastiki ni hatari kwa mifugo yako. Huleta hasara na kushuka kwa uzalishaji wa kipato (Pile of bags more than 1Kg removed from one goat kama tunaweza kuona afya isiyoridhisha kwa huyu mbuzi

FRACTURE IN CATTLE

FRACTURE IN CATTLE
Management of fracture

UFUGAJI WA KUKU KWA TIJA

UFUGAJI WA KUKU KWA TIJA
KITABU CHA MWONGOZOUFUGAJI WA KUKU

UFUGAJI WA NGURUWE KWA TIJA

UFUGAJI WA NGURUWE KWA TIJA
KITABU CHA MWONGOZO BORA UFUGAJI WA NGURUWE, TENGENEZA FAIDA NDANI YA MUDA MFUPI

FUGA KWA TIJA

FUGA KWA TIJA
Fahamu kanuni za lishe bora kwa mifugo yako

MBINU ZA UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI

MBINU ZA UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI
MBINU ZA UFUGAJI

Mimea hii ni sumu kwa mifugo yetu husababisha vifo vya ghafla

Mastitis in goat