SOMA, FUGA, TAJIRIKA
*ReSta AgroVET*
Jina la kitabu: *MWONGOZO BORA UFUGAJI WA KUKU*
___________________
*Kinahusu nini?*
Ni kitabu kinachohusu ufugaji wa kuku wa aina zote;
*Kuku wa mayai (layers)*
*kuku wa nyama (broiler)*
*kuku wa kienyeji*
*kuku chotara*
_____________________
Kimeandaliwa na: *Dr Riziki Ngogo (DVM)*
_____________________
*Utangulizi*
_______________
_______________
Kitabu hiki kimeandaliwa ili kiwe *mwongozo bora* kwa ufugaji wa kuku wa aina zote,
Layers(kuku wa mayai), Broiler (kuku wa nyama), Kienyeji na Chotara. Kwa kufuata
mahitaji ya ujuzi/maarifa yanayohitajika ili kuleta tija katika ufugaji wa kuku.
______________
*Jifunze na pata maarifa*/ujuzi wa kutosha kupitia nyenzo hii kwa kusoma na kuelewa
vizuri.
_________________
Faida ya Kitabu hiki mbali na *kukuonyesha njia juu ya nini kifanyike*, pia
kitakupa mwongozo wa *namna unavotakiwa kufanya Hatua kwa Hatua*.
_________________
Kama utaelewa kitabu hiki na kufuata maelezo kwa kufanya kwa vitendo, basi
utakuwa umepata suluhisho la mambo mengi yanayokufanya ushindwe kufikia
malengo ndani ya muda mfupi na kukuongezea faida katika miradi ya ufugaji wa
kuku.
__________________
Tanzania ni moja ya nchi za afrika zenye rasilimali mifugo nyingi ikihusisha mifugo
ya aina nyingi, sekta ya ufugaji hasa katika ufugaji wa kuku tunahitaji
vifaranga bora, vifaa na miundombinu bora, upatikanaji wa chanjo na matibabu na
*mbinu/tekinolojia bora* za ufugaji ili kuongeza kipato kwa familia na pato la taifa
kwa ujumla.
______________
Umuhimu na mahitaji ya ufugaji wa kuku umekuwa ukiongezeka mwaka hadi
mwaka. Hii inatokana na *ongezeko la watu* wanaohitaji *protein* na kupenda kula nyama ya kuku na mayai yake kutokana na *ladha ya kipekee* inayopatikana katika
aina hii ya mifugo.
_______________
Watu wengi hapa nchini hujihusisha na ufugaji wa kuku kwa lengo la *kujipatia
chakula na kipato.*
_____________
Mazao yatokanayo na ufugaji wa kuku ni pamoja na *mayai,
nyama, mbolea na manyoya* kwa matumizi mbalimbali.
________________
Kutokana na ongezeko la wafugaji wengi kuhitaji muongozo wa ufugaji bora na
*kukosa muongozo wa kutosha katika ufugaji wa kuku,* sambamba na *ongezeko la
wafugaji wa kuku* na *kukua kwa mwamko* wa kufuga kwa tija. *Resta AgraVET*
imeona kuna umuhimu wa kuandaa *mwongozo rahisi* ili kumwezesha mfugaji
kupata *maarifa,ujuzi na elimu* itayosaidia kuboresha na kuanza ufugaji kwa tija na
kufikio malengo.
*SOMA FUGA TAJIRIKA……….*
__________________
*Namna ya kukipata?*
Simu # No *0763222500*whatsap *0652515242*
Email: *afyamifugo@gmail.com*
______________
Facebook page
http://www.facebook.com/AfyaMIFUGOtz/
________________
http://www.instagram.com/resta_agrovet/
TUNATUMA POPOTE ULIPO
*NAOMBA KUSAMBAZA TAARIFA HII KWA WAFUGAJI WOTE*
ASANTE
Share Share Share
UFUGAJI NI MAARIFA
Maoni
Chapisha Maoni