Ruka hadi kwenye maudhui makuu
Pata huduma zifuatazo" matibabu na chanjo kwa mifugo, tunasimamia miradi ya mifugo, tunatoa Ushauri kwa wafugaji, tunadesign mabanda ya mifugo, huduma ya uhimilishaji, Elimu na Vitabu vya mwongozo bora wa ufugaji, mbegu bora za mifugo +255746031005 KARIBU SANA AFYA MIFUGO AGROVET KIBAHA PICHA YA NDEGE

PATA MAARIFA, FUGA, TIMIZA MALENGO

■Inahitaji mfugaji mwenye NIA na uthubutu, mwenye MAARIFA SAHIHI juu ya ufugaji na uwepo wa  DAKTARI WA MIFUGO. Ili kuweza kufuga kwa tija na kufikia malengo ndani ya muda mfupi. 
■Kuna changamoto kubwa kumpata mtaalam/Daktari wa mifugo kwa wakati. Tumia fursa hii kufuga na ReSta AgroVET Ili kuweza kukutana na wataalam wa mifugo popote ulipo. 
■Pia kuna changamoto kubwa kufuga kwa tija ni Vema ukajipatia Kitabu cha Mwonngozo Bora Ufugaji wa Nguruwe, Kuku, Sungura, Samaki, Ng'ombe N.K . 
Vitabu vyetu vimeandaliwa kitaalam na kwamaelezo rahisi ili kukusaidia mfugaji na kukupatia dira uweze kufuga kwa tija Hatua kwa Hatua.

Vinapatikana popote ulipo Vinakufikia. 
《WAHI MAPEMA JIPATIE NGURUWE BORA KABISA》
 ■By Dr NgogoR ReSta AgroVET■

Follow link hizi kujifunza mambo mengi na kupata taarifa kuhusu Ufugaji bora.

http://www.instagram.com/resta_agrovet/

http://www.facebook.com/farmersplatform/

http://www.afyamifugo.blogspot.com/

Contacts
0763222500 
0652515242 
Email:  afyamifugo@gmail.com

Maoni

TUNATOA USHAURI HATUA KWA HATUA KUHUSU UFUGAJI, HUDUMA ZA MATIBABU KWA MIFUGO, TUNABUNI RAMANI ZA MABANDA YA MIFUGO KULINGANA NA AINA YA MIFUGO, MAFUNZO YA MBWA, UFUGAJI KWA MTU BINAFSI NA VIKUNDI HUDUMA ZA CHANJO KWA MIFUGO,KANUNI/FORMULA NZURI ZA VYAKULA VYA MIFUGO TUNASIMAMIA MASHAMBA YA MIFUGO (FARM), TUNATOA MCHANGANUO WA FEDHA UNAOHUSIANA MIRADI YA UFUGAJI 0763222500

PATA MAARIFA FUGA TAJIRIKA

Farmers Platform


Minyoo kwenye mbuzi (cyst from goat)

PLASTIC BAGS

PLASTIC BAGS
Mifuko ya plastiki ni hatari kwa mifugo yako. Huleta hasara na kushuka kwa uzalishaji wa kipato (Pile of bags more than 1Kg removed from one goat kama tunaweza kuona afya isiyoridhisha kwa huyu mbuzi

FRACTURE IN CATTLE

FRACTURE IN CATTLE
Management of fracture

UFUGAJI WA KUKU KWA TIJA

UFUGAJI WA KUKU KWA TIJA
KITABU CHA MWONGOZOUFUGAJI WA KUKU

UFUGAJI WA NGURUWE KWA TIJA

UFUGAJI WA NGURUWE KWA TIJA
KITABU CHA MWONGOZO BORA UFUGAJI WA NGURUWE, TENGENEZA FAIDA NDANI YA MUDA MFUPI

FUGA KWA TIJA

FUGA KWA TIJA
Fahamu kanuni za lishe bora kwa mifugo yako

MBINU ZA UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI

MBINU ZA UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI
MBINU ZA UFUGAJI

Mimea hii ni sumu kwa mifugo yetu husababisha vifo vya ghafla

Mastitis in goat