Ruka hadi kwenye maudhui makuu
Pata huduma zifuatazo" matibabu na chanjo kwa mifugo, tunasimamia miradi ya mifugo, tunatoa Ushauri kwa wafugaji, tunadesign mabanda ya mifugo, huduma ya uhimilishaji, Elimu na Vitabu vya mwongozo bora wa ufugaji, mbegu bora za mifugo +255746031005 KARIBU SANA AFYA MIFUGO AGROVET KIBAHA PICHA YA NDEGE

UFUGAJI WA NGURUWE

*UFUGAJI WA NGURUWE (PIG FARMING)*
🐖🐖🐖🐖🐖🐖🐖🐖

Watu wengi wameanzisha miradi ya ufugaji lakini wamejikuta wameingia kwenye vikwazo vingi vinavyo warudisha nyuma na kushindwa kufikia malengo na kilele cha mafanikio kwa muda uliopangwa.
*Suluhisho kubwa ni kupata ujuzi wa muhimu unaotakiwa/hitajika kwa muda mwafaka kabla na wakati wote wa uendeshaji wa miradi ya ufugaji*

UJUZI HUO NI PAMOJA NA VITU MUHIMU VILIVYOTAJWA HAPA


✅ *mifumo ya ufugaji wa nguruwe*

1⃣ Ufugaji wa nguruwe kwa mfumo huria.(free range, scavenginh)

2⃣ Ufugaji nguruwe kwa mfumo wa nusu huria (semi intensive)

 3⃣Ufugaji nguruwe kwa mfumo wa ndani (small scale intensive)


✅ *Ujengaji wa mabanda ya ngurue na muundo wake lazima uzingatie*

1⃣ Hali ya hewa
2⃣ Mahitaji ya kiufundi kwa ajili ya banda zuri
3⃣ Vilishio vya chakula na vinywesheo vya maji
4⃣ Ukubwa wa banda
5⃣ banda la nguruwe wanaonyonyesha na watoto (piglets)
6⃣ banda la nguruwe wa kunenepesha
7⃣ Usafi wa banda



✅  *Uzalishaji wa nguruwe zingatia haya*

1⃣ Kusimamia nguruwe majike wazazi
2⃣ Kuchagua dume bora la nguruwe
3⃣ uzalishaji na utunzaji wa nguruwe wanaozaliwa
4⃣ Matatizo yanayohusiana na kuzaliwa
5⃣ Kulea vizuri watoto wa nguruwe piglets
6⃣ Kutengeneza mazingira ya kuwanenepesha nguruwe
7⃣ Kuhifadhi kumbukumbu vizuri



✅ *Matatizo ya uzazi na uzalishaji wa nguruwe*

1⃣ nguruwe jile kuto kuonyesha dalili za kuingia joto na kushindwa kushika mimba
2⃣ Ugonjwa unaosababisha matatizo ya uzazi, mimba kuharibika na kutupa mimba na vifo vya nguruwe wadogo



 ✅ *Kulisha Nguruwe zingatia haya*

1⃣ ratiba muhimu
2⃣ Mahitaji ya lishe kwa nguruwe kulingana na umri na jinsia ya nguruwe na hali ya kiafya ya nguruwe
3⃣  Vyakula vyenye Vyanzo vya nishati, protini, madini na vitamini

4⃣Kulisha nguruwe, kutoka umri wa kunenepesha
5⃣Kulisha nguruwe wanaonyonyesha na watoto wao


✅ *Magonjwa ya nguruwe kuzuia na kudhibiti zingatia*

1⃣Kuzuia kwa kuongeza kinga dhidi ya magonjwa
2⃣ kuondoa Viumbe  visababishi vya magonjwa
3⃣Matumizi sahihi ya madawa juu ya magonjwa ya vimelea magonjwa ya bakteria magonjwa ya virusi


✅  *Magonjwa yanayohusiana chakula na malisho na lishe zingatia*

1⃣Chakula salama na kisafi kisichokuwa na uvundo fangasi
2⃣Kiasi sahihi kulingana na nguruwe mlaji
3⃣Tumia chakula chenye virutubisho vya muhimu


📞☎ *Dr Riziki Ngogo (veterinarian)*
*0763222500*
*0652515242*
afyamifugo@gmail.com
AfyaMIFUGO Tz
*afyamifugo.blogspot.com*

Maoni

Chapisha Maoni

TUNATOA USHAURI HATUA KWA HATUA KUHUSU UFUGAJI, HUDUMA ZA MATIBABU KWA MIFUGO, TUNABUNI RAMANI ZA MABANDA YA MIFUGO KULINGANA NA AINA YA MIFUGO, MAFUNZO YA MBWA, UFUGAJI KWA MTU BINAFSI NA VIKUNDI HUDUMA ZA CHANJO KWA MIFUGO,KANUNI/FORMULA NZURI ZA VYAKULA VYA MIFUGO TUNASIMAMIA MASHAMBA YA MIFUGO (FARM), TUNATOA MCHANGANUO WA FEDHA UNAOHUSIANA MIRADI YA UFUGAJI 0763222500

PATA MAARIFA FUGA TAJIRIKA

Farmers Platform


Minyoo kwenye mbuzi (cyst from goat)

PLASTIC BAGS

PLASTIC BAGS
Mifuko ya plastiki ni hatari kwa mifugo yako. Huleta hasara na kushuka kwa uzalishaji wa kipato (Pile of bags more than 1Kg removed from one goat kama tunaweza kuona afya isiyoridhisha kwa huyu mbuzi

FRACTURE IN CATTLE

FRACTURE IN CATTLE
Management of fracture

UFUGAJI WA KUKU KWA TIJA

UFUGAJI WA KUKU KWA TIJA
KITABU CHA MWONGOZOUFUGAJI WA KUKU

UFUGAJI WA NGURUWE KWA TIJA

UFUGAJI WA NGURUWE KWA TIJA
KITABU CHA MWONGOZO BORA UFUGAJI WA NGURUWE, TENGENEZA FAIDA NDANI YA MUDA MFUPI

FUGA KWA TIJA

FUGA KWA TIJA
Fahamu kanuni za lishe bora kwa mifugo yako

MBINU ZA UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI

MBINU ZA UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI
MBINU ZA UFUGAJI

Mimea hii ni sumu kwa mifugo yetu husababisha vifo vya ghafla

Mastitis in goat