Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Aprili, 2018
Pata huduma zifuatazo" matibabu na chanjo kwa mifugo, tunasimamia miradi ya mifugo, tunatoa Ushauri kwa wafugaji, tunadesign mabanda ya mifugo, huduma ya uhimilishaji, Elimu na Vitabu vya mwongozo bora wa ufugaji, mbegu bora za mifugo +255746031005 KARIBU SANA AFYA MIFUGO AGROVET KIBAHA PICHA YA NDEGE

WHAT EVERY CHICKEN NEEDS

What Every Chicken Needs Raising chickens seems fairly simple, right? Well, yes, that’s actually mostly true (assuming you’re prepared to do some work now and then). But with chickens come needs, as with any animal you’re caring for. What does every chicken need to be happy and healthy? It may sound obvious, but here is what every chicken needs. Warm Coop/Housing Chickens like space to run around, but they need a safe place to return to for roosting every night or while laying. Inside that coop then you’ll want to make sure there are comfortable nesting boxes set up to allow the chickens to lay to their heart’s content. However, just because you provide nests doesn’t mean you’re done. Every coop should also have a roosting bar placed high up. Not all chickens will want to roost high up, but it’s good to give the option as chickens in the wild generally prefer to sleep in trees and such. The importance of the coop is magnified during the various seasons. If it’s cold ou...

Sifa za Dume la Mbuzi/Kondoo

Dume bora awe na sifa zifuatazo:- Ili kuleta tija katika ufugaji wa nbuzi/ kondoo kwa sababu uzalishaji au nusu ya kundi la mbuzi au kondoo mwonekano wake wa leo umetokana na dume lililotumika katika uzalishaji shambani kwako.

UFUGAJI WA KUKU WA ASILI KWA FAIDA

A Little education may help to improve your poultry farming. ๐Ÿฅš๐Ÿ“Ili  kuongeza uzalishaji wa kuku bora katika mradi wa kuku ni muhimu kutumia kuku wazazi wazuri na wanaotaga mayai mazuri  kwa ajili ya maendeleo ya aina ya kuku wazuri bandani kwako.

FAHAMU KUHUSU UFUGAJI WA NYUKI

*UFUGAJI WA NYUKI KWENYE MIZINGA* ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ Nyuki ni chanzo cha uzalishaji wa asali ๐ŸUfugaji nyuki (au *apiculture*,  jina limetokana na neno la Kilatini apis= nyuki)  ๐ŸApiculture ni ufugaji wa nyuki wa asali unaohusisha utengenezaji wa mizinga ya nyuki, mara nyingi ikiwa ni pamoja na kuwazalisha nyuki kwa makundi toafauti tofauti. ๐Ÿ Mfugaji wa nyuki (au apiarist) hufuga nyuki ili kukusanya asali na bidhaa nyingine zitikanazo na ufugaji wa nyuki.  ๐ŸEneo ambapo nyuki wanahifadhiwa au kufugwa huitwa "apiary" ๐ŸAsali hutumika kama chakula pia inajulikana kuwa na thamani ya dawa. Inajulikana kuwa muhimu sana katika matibabu ya matatizo mbalimbali ya wanadamu kuhusiana na mmeng'enyo wa chakula yaani  digestion, ugonjwa wa kuhara kutapika, magonjwa ya  tumbo na ugonjwa wa ini. ๐Ÿ Utafiti wa kisasa unaonyesha kwamba asali: ๐ŸInazuia ukuaji wa bakteria ya mdomo Inatengeneza layer mdomoni na  kwenye koo na hupunguza ...
TUNATOA USHAURI HATUA KWA HATUA KUHUSU UFUGAJI, HUDUMA ZA MATIBABU KWA MIFUGO, TUNABUNI RAMANI ZA MABANDA YA MIFUGO KULINGANA NA AINA YA MIFUGO, MAFUNZO YA MBWA, UFUGAJI KWA MTU BINAFSI NA VIKUNDI HUDUMA ZA CHANJO KWA MIFUGO,KANUNI/FORMULA NZURI ZA VYAKULA VYA MIFUGO TUNASIMAMIA MASHAMBA YA MIFUGO (FARM), TUNATOA MCHANGANUO WA FEDHA UNAOHUSIANA MIRADI YA UFUGAJI 0763222500

PATA MAARIFA FUGA TAJIRIKA

Farmers Platform


Minyoo kwenye mbuzi (cyst from goat)

PLASTIC BAGS

PLASTIC BAGS
Mifuko ya plastiki ni hatari kwa mifugo yako. Huleta hasara na kushuka kwa uzalishaji wa kipato (Pile of bags more than 1Kg removed from one goat kama tunaweza kuona afya isiyoridhisha kwa huyu mbuzi

FRACTURE IN CATTLE

FRACTURE IN CATTLE
Management of fracture

UFUGAJI WA KUKU KWA TIJA

UFUGAJI WA KUKU KWA TIJA
KITABU CHA MWONGOZOUFUGAJI WA KUKU

UFUGAJI WA NGURUWE KWA TIJA

UFUGAJI WA NGURUWE KWA TIJA
KITABU CHA MWONGOZO BORA UFUGAJI WA NGURUWE, TENGENEZA FAIDA NDANI YA MUDA MFUPI

FUGA KWA TIJA

FUGA KWA TIJA
Fahamu kanuni za lishe bora kwa mifugo yako

MBINU ZA UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI

MBINU ZA UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI
MBINU ZA UFUGAJI

Mimea hii ni sumu kwa mifugo yetu husababisha vifo vya ghafla

Mastitis in goat