Sungura Aina ya CHINCHILLA ni Aina ya sungura wapole na watulivu wenye sifa zifuatazo.
■Wanafugika vizuri
■Wapole na wavumilivu
■Wanauwezo wa kuzaa watoto 6-9
■Wana rangi ya kijivu iliyokolea
■Wanakua haraka
■Wanauwezo mkubwa wa kulea watoto
■Wanaweza kutumika kwa nyama, manyoya, Mkojo wao na kinyesi chao na kama pambo nyumbani.
Wanaweza kuishi kwa miaka 5-8
■Wastani wa uzito wao wakiwa wakubwa kilo 4- 5.5Kg.
■Wapole na wavumilivu
■Wanauwezo wa kuzaa watoto 6-9
■Wana rangi ya kijivu iliyokolea
■Wanakua haraka
■Wanauwezo mkubwa wa kulea watoto
■Wanaweza kutumika kwa nyama, manyoya, Mkojo wao na kinyesi chao na kama pambo nyumbani.
Wanaweza kuishi kwa miaka 5-8
■Wastani wa uzito wao wakiwa wakubwa kilo 4- 5.5Kg.
Jifunze zaidi kila siku kupitia kurasa zetu
http://www.afyamifugo.blogspot.com/
http://www.facebook.com/farmersplatform/
http://www.instagram.com/farmers_platform/
KARIBU UJIPATIE SUNGURA BORA NA HUDUMA BORA ZA KITAALAM.
Dr NgogoR
0763222500 Farmers Platform
0763222500 Farmers Platform
PATA MAARIFA FUGA TAJIRIKA
~SHARE NA WAFUGAJI WENZAKO~
Maoni
Chapisha Maoni