Dume bora awe na sifa zifuatazo:- Ili kuleta tija katika ufugaji wa nbuzi/ kondoo kwa sababu uzalishaji au nusu ya kundi la mbuzi au kondoo mwonekano wake wa leo umetokana na dume lililotumika katika uzalishaji shambani kwako.
- Miguu iliyonyooka, imara na yenye nguvu,
- Asiwe na ulemavu wa aina yoyote,
- Mwenye uwezo na nguvu ya kupanda; na
- Mwenye kokwa mbili zilizo kaa vizuri na zinazolingana
- Atokane na koo zenye record nzuri katika uzalishaji
Itaendelea ......
by Dr Riziki Ngogo (Vet)
AfyaMIFUGO Tz
Call# 0763222500 Whatsap
afyamifugo@gmail.com
http://www.facebook.com/AfyaMIFUGOtz/
afyamifugo.blogspot.com
For all your Animal Care needs, Veterinary Services and Products
#UFUGAJI NI MAARIFA#
http://www.facebook.com/AfyaMIFUGOtz
http://www.instagram.com/afya_mifugo_tz
Maoni
Chapisha Maoni