AfyaMIFUGO Tz tunatoa huduma za kitalamu HATUA KWA HATUA ili mfugaji uweze kupata ujuzi wa kitalamu wa kutosha ili uweze kufuga kwa tija na kufikia malengo yako ya kujikwamua kiuchumi kwa muda mfupi, muda wa kati na muda mrefu. Wewe uliyepata ujuzi na huduma zetu zikusaidie ufanikiwe nawe uwasaidie wengine , mifugo biashara inawezekana, amua sasa ungana nasi kwa msaada zaidi..... TUNATOA USHAURI HATUA KWA HATUA KUHUSU UFUGAJI TUNATOA HUDUMA ZA MATIBABU KWA MIFUGO HATUA KWA HATUA TUNABUNI RAMANI ZA MABANDA YA MIFUGO KULINGANA NA AINA YA MIFUGO MAFUNZO YA UFUGAJI KWA MTU BINAFSI NA VIKUNDI TUNATOA HUDUMA ZA CHANJO KWA MIFUGO TUNATOA KANUNI/FORMULA NZURI ZA VYAKULA VYA MIFUGO TUNASIMAMIA MASHAMBA YA MIFUGO (FARM) TUNA...
_UFANISI WA KUKU_ Fahamu kuwa, kwa kawaida kuku hunyonyoka manyoya na kuota manyoya mapya katika vipindi tofauti vya ukuaji wa kuku. *_Moulting_* Kunyonyoka manyoya na kubadilisha manyoya mapya hutokea kuku akiwa na umri wa kianzia wiki ya 4-5, wiki ya 8, Wiki ya 13, Wiki ya 20. Pia angalau mara moja kwa kila mwaka akifikia umri wa utagaji. Visababishi vingine vinavyochangia kunyonyoka manyoya na kuota manyoua mapya ni pamoja na _mabadiliko na upungufu wa chakula, mabadiliko ya kimsimu ya hali ya hewa, mabadiliko ya ghafla ya mwanga_ n.k Tambua kuwa kunyonyoka manyoya kunaweza kuathiri ufanisi wa kuku katika ukuaji/kuongezeka uzito na utagaji, hivyo unashauriwa kufanya yafuatayo, _1. Punguza stress kwa kuku._ _2. Tumia chakula bora chenye protein ya kutosha._ _3. Epuka mabadiliko ya ghafla kwenye mwanga, chakula n.k._ ●By Dr Riziki Ngogo 0763222500 #ReSta AgroVET #FARMERS Platform # INTERCHICK- ...