A Little education may help to improve your poultry farming.
🥚🐓Ili kuongeza uzalishaji wa kuku bora katika mradi wa kuku ni muhimu kutumia kuku wazazi wazuri na wanaotaga mayai mazuri kwa ajili ya maendeleo ya aina ya kuku wazuri bandani kwako.
🐓Ili kuondoa kuku wasiokuwa na sifa nzuri za kiuzalishaji ndani ya mradi wa kuku na kupata aina fulani mpya au kuboresha aina mbalimbali ya kuku watakaoongeza uzalishaji kwa wingi na ubora wa mayai, Vitu vifuatavyo ni lazima vizingatiwe kuanzia kwenye mayai:::
1.Yai
2. Ukuaji wa kuku
3. uzito wa yai
4. uzito wa kuku
5. ufanisi wa lishe (feed efficiency)
6. ukubwa wa yai
7. Shepu ya yai
8. rangi ya ganda la yai (shell)
9. ubora wa ganda la yai (shell)
10. Ubora wa yai kwa ndani
🥚Mayai yenye kiini (fertile egg) yanayoweza kurutubishwa huharibika haraka kuliko mayai yasioweza kurutubishwa , kwa hivyo, katika kuandaa mayai ya kutotoleshwa ni lazima yahifadhiwe vizuri kwa muda mfupi.
🐓Kuku wana uwezo wa kutaga bila uwepo wa jogoo lakini yai lake hukosa uwezo wa kutotoleshwa kuleta kufaranga (infertile egg).
*Itaendelea*
#Dr Riziki Ngogo (Vet)
*Jiunge nasi.....*👇🏿👇🏿
FOLLOW US PATA UJUZI BURE
*AfyaMIFUGO Tz*
afyamifugo.blogspot.com
0763222500 whatsap
0652515242
afyamifugo@gmail.com
Veterinary services and animal care https://www.facebook.com/AfyaMIFUGOtz/
afya_mifugo_tz http://www.instagram.com/afya_mifugo_tz
UFUGAJI NI MAARIFA
Maoni
Chapisha Maoni