Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Pata huduma zifuatazo" matibabu na chanjo kwa mifugo, tunasimamia miradi ya mifugo, tunatoa Ushauri kwa wafugaji, tunadesign mabanda ya mifugo, huduma ya uhimilishaji, Elimu na Vitabu vya mwongozo bora wa ufugaji, mbegu bora za mifugo +255746031005 KARIBU SANA AFYA MIFUGO AGROVET KIBAHA PICHA YA NDEGE

DOG HEALTH

General Principles of Disease Control in Dog Practical control of infections disease in dogs and cats depend on: 1.Vaccination ProgrammeMost vaccines protect dogs and cats against development of severe clinic disease, but do not protect the animal against infection. 2.Removal of the animals from the group manifesting clinical signs of infections disease 3.Detection and removal of asymptomatic carriers by using available diagnostic tests 4.Young susceptible animals should be isolated from any remaining unidentified carriers until fully immunized 5.Attention to sanitation and ventilation to control infectious agents. UFUGAJI NI MAARIFA

BIOSECURITY PLAN IN POULTRY FARMING, A PLAN TO MINIMIZE ANTIBACTERIAL RESISTANCE

Infectious agents of poultry are a threat to poultry health and, at times, human health and have significant social and economic implications.  In poultry production, especially under intensive conditions, prevention is the most viable and economically feasible approach to the control of infectious agents. Biosecurity procedures should be implemented with the objective of preventing the introduction and dissemination ofinfectious agents in the poultry production chain. We as, AfyaMIFUGO Tz, all Vets and other stakeholders it is our duty to deliver the knowledge of Biosecurity  to the livestock  farmers in order to enhence adoption and implementation ofthe principles of Good Farming Practices and the Hazard Analysis Critical Control Point (HACCP) system. Finally we can end up minimizing the effects of Antibacterial resistance  for the benefit of our animals, environments  and human health. By Dr Riziki Ngogo           ...

SEMINA YA UFUGAJI WA KUKU, 28/02/2018 MOROGORO TANZANIA

AfyaMIFUGO Tz tunawashukuru watu wote mlio amua kuacha kazi zenu na kutumia muda huo kuhudhuria mafunzo ya ufugaji wa kuku. Mwenyezi Mungu awasaidie kile mlichonifunza na ujuzi mliopata ukapate kuwa moja ya njia ya kutatua changamoto za ufugaji wa kuku na kufikia malengo ya ufugaji wa tija. UFUGAJI NI MAARIFA, Kuna tofauti kati ya kufuga kuku na kuishi na kuku. Bado tunaendelea kuwa karibu na wafugaji na kuwapa ujuzi wa kufuga kitaalam hivyo unakila sababu ya kuwa mfugaji bora. KARIBUNI KWA SEMINA NYINGINE  NA HUDUMA ZA AFYA YA MIFUGO

DOG SHOW, GYMKHANA MOROGORO TANZANIA

 UFUGAJI NI MAARIFA

*TO ALL LIVESTOCK FARMERS, IMPROVE YOUR LEADERSHIP SKILLS TO INCREASE FARM PRODUCTION AT COST EFFECTIVE OUTCOME

Why You Should Treat Your Employees Like Your Most Loyal Customers.? TO ALL LIVESTOCK FARMERS, IMPROVE YOUR LEADERSHIP SKILLS TO INCREASE FARM PRODUCTION AT COST EFFECTIVE OUTCOME (Technique to Succesful Project)

GERMAN SHEPHERD Mbwa wa kizungu fahamu asili yake na matumizi yake

Fahamu asili ya Mbwa wa kizungu GERMAN SHEPHERD. Asili yake ni nchini Uingereza na Ireland. Huko walitumika katika kazi za Uchungaji wa Mifugo huko Ujerumani miaka ya 1899. Moja ya kazi kubwa walitumika kama mbwa wanaofanya kazi zilizotengenezwa awali kwa ajili ya kuchunga kondoo. Tangu wakati huo kutokana na nguvu zao, akili, ujuzi, na utii, wachungaji wa Ujerumani ulimwenguni kote mara nyingi hupendelea aina hizi za Mbwa, ikiwa na pamoja na kupata msaada wa ulemavu, kutafuta wezi-na-kuwaokoa watu, kazi za kipolisi na majukumu ya kijeshi, na hata katika maonyesho mbalimbali. By Dr Riziki Ngogo        0763222500       afyamifugo@gmail.com UFUGAJI NI MAARIFA

*DHIBITI UGONJWA WA KIDELI/MDONDO (Newcastle) KWA KUKU* AfyaMIFUGO🇹🇿:

  UFUGAJI NI MAARIFA *DHIBITI UGONJWA WA MDONDO/KIDELI (Newcastle) KWA KUKU* [Part 1 AfyaMIFUGO🇹🇿:)*DHIBITI UGONJWA WA KIDELI (Newcastle) KWA KUKU* [Part 1 AfyaMIFUGO🇹🇿:) *Kideli/MDONDO (Newcastle) ni nini* ❓  🐓Huu ni ugonjwa hatari kwa ufugaji wa kuku unaosababishwa na virusi. 🐓ugonjwa huu huathiri sana kuku mfumo wa kupumua, na kusababisha kushuka kwa uzalishaji wa mayai na vifo vingi kufikia 100% kwa kuku wagonjwa.

How do we clean and disinfect poultry house?

UFUGAJI NI MAARIFA *poultry farming* 🐓🐓🐓🐓🐓🐓 ❓ *Question#* How do we clean and disinfect poultry house? *Answer#* 🐓You only disinfect a poultry house after thorough washing(abiding by the procedures of removing equipments like waterer, feeders and feed remains) removal of dust,start washing by use of plain water from the roof,wall and floor, then wash using a disinfectant like______. 🐓Placement of Chicken is done after 2weeks pending on how strong disinifectant is as advised. *More information* AfyaMIFUGO Tz afyamifugo.blogspot.com afyamifugo@gmail.com 0763222500 Dr NgogoR *for all your Animal care needs and Veterinary services*

Dhibiti magonjwa ya kuku

Coccidiosis  ni nini? Ni ugonjwa unaosababisha Vifo vingi vya kuku. ni mojawapo ya magonjwa mabaya ya kuku.  Mlipuko wa ugonjwa huu mara nyingi hutokea sana kwa kawaida kuku wwnye umri kati ya wiki 3 hadi 6.

FAHAMU UMUHIMU WA MADINI YA CALCIUM NA PHOSPHORUS KWA MIFUGO

*FAHAMU UMUHIMU WA DCP KWA MIFUGO.* DCP=Dicalcium Phosphate ✅*DCP ni nini ?* DCP ni mchanganyiko wa madini ya Calcium na Phosphorus. DCP husaidia wanyama wenye upungufu au maradhi yatokanayo na ukosefu wa madini haya ya Calcium na Phosphorus ✅FAIDA KWA KUKU: Huzuia kudonoana, kula mayai, maganda malaini, huimarisha maganda ya mayai, Pia husaidia utagaji wa mayai ✅FAIDA KWA WANYAMA WENGINE: Huzuia ng’ombe kuanguka, viungo dhaifu na huimarisha mifupa na kupunguza matatizo ya mifupa. 📞Dr Riziki Ngogo(DVM) ☎*AfyaMIFUGO Tz*        0763222500     afyamifugo@gmail.com     afyamifugo.blogspot.com

KWA WAFUGAJI MAKINI, PATA MAARIFA KWANZA

✅KWA WAFUGAJI MAKINI. *JIFUNZE NAMNA BORA YA  KUEPUKA HASARA ITOKANAYO NA MIRADI YA MIFUGO KWA KUKOSA MAARIFA SAHIHI JUU YA UFUGAJI.* ✅ *UJUZI/AKILI NI MTAJI MUHIMU KWENYE UFUGAJI.* Hivyo kipato unachokipata kutoka kwenye kazi za ufugaji kinawakilisha asilimia 6% ya mtaji/ujuzi ulonao kichwani. Mtaji wa ujuzi/maarifa unathamani kubwa kuliko mtaji wa fedha.

KWA WAFUGAJI WA MBWA, WAUZAJI NA WANUNUZI

FAHAMU HATUA ZA UKUAJI WA MBWA NA HUDUMA MUHIMU HATUA KWA HATUA ✅ 1-4 Wiki *⃣Macho na masikio hufungua siku ya 10.  *⃣Siku ya  15 mbwa anaweza kusimama. *⃣Siku ya 20 mbwa anaanza kujifunza kutembea. Watoto bado wanahitaji sana kuwa karibu na  mama. *⃣Kwa Kawaida  hata kama puppy mbwa mtoto ana afya. Chukua mtalamu wa mifugo  siku ya 1 au 2 ili aangalie matatizo ya kuzaliwa. *⃣Mikia inaweza kukatwa katika umri huu. kucha zinaweza kukatwa pia *⃣Puppy mbwa mtoto anajifunza kuwa na uhusiano na mama na mahusiano ya karibu na wengine baadaye.

MAMBO USIYOYAJUA KUHUSU MBWA

FAHAMU SIFA ZA KIPEKEE ALIZONAZO MBWA ✅Harufu/kunusa:smell mbwa anauwwzo mkubwa wa kunusa na kutambua harufu mara 15 zaidi ya uwezo alionao binadamu (zaidi ya mara 15) ✅Kusikia: Mbwa anauwezo mkubwa wa kusikia Mara 4 zaidi  kuliko uwezo wa mtu kusikia ✅Kutofautisha harufu: Mbwa ana uwezo wa kunusa na kuchagua kati ya harufu mbalimbali zaidi ya 1000 za aina tofauti. ✅kumbukumbu: Mbwa ana uwezo wa kutunza kumbukumbu za harufu tofauti tofauti Kwa muda mrefu zaidi  (mara 1,000-10,000x kuliko wanadamu) Learn more about dog breeding 🐕For the caregivers services from the animal health expert 🐕 For the needs of All Dog Vaccines as well as preventing Dog Rabies 🐕for deworming schedules in dogs 🐕for the beautiful Dogs breeds local, cross and pure from inside and outside have received all the essential services 🐕 For treatment of various dog diseases 🐕 For Technical advice from Veterinarians 🐕 For dog sellers and buyer dog health investigations before and ...

UFUGAJI WA MBWA (PETS)

Kwa nini tunafuga Mbwa? 1⃣. Malengo ya Usalama Nyumbani, Polisi 2⃣kuondoa upweke na kutoa kampani: -Pets 3⃣Uwindaji 4⃣Mashindano na burudani ya maonyesho ya Mbwa (Greyhounds) 5⃣Uongozi wa vipofu. (Mbwa mwongozo) Kwa ujumla Mbwa nchini Tanzania wengi ni jamii ya Mbwa Asili wa kiafrika kama MONGREL

UFUGAJI WA NGURUWE

*UFUGAJI WA NGURUWE (PIG FARMING)* 🐖🐖🐖🐖🐖🐖🐖🐖 Watu wengi wameanzisha miradi ya ufugaji lakini wamejikuta wameingia kwenye vikwazo vingi vinavyo warudisha nyuma na kushindwa kufikia malengo na kilele cha mafanikio kwa muda uliopangwa. *Suluhisho kubwa ni kupata ujuzi wa muhimu unaotakiwa/hitajika kwa muda mwafaka kabla na wakati wote wa uendeshaji wa miradi ya ufugaji* UJUZI HUO NI PAMOJA NA VITU MUHIMU VILIVYOTAJWA HAPA
TUNATOA USHAURI HATUA KWA HATUA KUHUSU UFUGAJI, HUDUMA ZA MATIBABU KWA MIFUGO, TUNABUNI RAMANI ZA MABANDA YA MIFUGO KULINGANA NA AINA YA MIFUGO, MAFUNZO YA MBWA, UFUGAJI KWA MTU BINAFSI NA VIKUNDI HUDUMA ZA CHANJO KWA MIFUGO,KANUNI/FORMULA NZURI ZA VYAKULA VYA MIFUGO TUNASIMAMIA MASHAMBA YA MIFUGO (FARM), TUNATOA MCHANGANUO WA FEDHA UNAOHUSIANA MIRADI YA UFUGAJI 0763222500

PATA MAARIFA FUGA TAJIRIKA

SABABU ZA KUKU KUNYONYOKA MANYOYA

_UFANISI WA KUKU_ Fahamu kuwa, kwa kawaida kuku hunyonyoka manyoya na kuota manyoya mapya  katika vipindi tofauti vya ukuaji wa kuku. *_Moulting_* Kunyonyoka manyoya na kubadilisha manyoya mapya hutokea kuku akiwa na umri wa kianzia wiki ya 4-5, wiki ya 8, Wiki ya 13, Wiki ya 20. Pia angalau mara moja kwa kila mwaka akifikia umri wa utagaji. Visababishi vingine vinavyochangia kunyonyoka manyoya na kuota manyoua mapya ni pamoja na _mabadiliko na upungufu wa chakula, mabadiliko ya kimsimu ya hali ya hewa, mabadiliko ya ghafla ya mwanga_ n.k Tambua kuwa kunyonyoka manyoya kunaweza kuathiri ufanisi wa kuku katika ukuaji/kuongezeka uzito na utagaji, hivyo unashauriwa kufanya yafuatayo, _1. Punguza stress kwa kuku._ _2. Tumia chakula bora chenye protein ya kutosha._ _3. Epuka mabadiliko ya ghafla kwenye mwanga, chakula n.k._ ●By Dr Riziki Ngogo      0763222500    #ReSta AgroVET    #FARMERS Platform    # INTERCHICK- ...

JIWE LA MADINI/ MINERAL BLOCK

FARMERS PLATFORM PATA MAARIFA, FUGA, TIMIZA MALENGO Bonyeza hapa kutazama bidhaa Kwa nini Jiwe la Madini ni muhimu kwa Wanyama? Kwa kukosekana kwa chumvi chumvi na madini; hamu ya kula hupungua, ukuaji hupungua, uzalishaji wa maziwa na nyama hupungua, matatizo ya uzazi yanaweza kupatikana, mfumo wa kinga (mfumo wa ulinzi) hudhoofika na wanyama hushambuliwa na magonjwa. Kukosa madini haya kunaweza kupeleka tabia zifuatazo kwa wanyama; kula na kulamba vitu visivyo vya chakula (jiwe, udongo, mfupa, sachet, nguo, nk)  Wanyama hutumia  JIWE LA MADINI/ MINERAL BLOCK Mfululizo kwa ajili ya kufidia kiasi Cha madini kilichopungua mwilini. Kesi za kuhara zinazotokana na tabia hizi pia huzuiwa ikiwa mnyama atapata madini inavyopaswa. Kiasi cha Matumizi: matumizi ya kila siku kwa MINERAL BLOCK;  Ng'ombe kila siku 80 gr / siku,  Kondoo, mbuzi 5-15 gr / siku. Bonyeza hapa kutazama bidhaa Why Mineral Block in Animals? In the absence of salt and mineral matter; appetite decreases, g...

UFUGAJI WA NGURUWE

*UFUGAJI WA NGURUWE (PIG FARMING)* 🐖🐖🐖🐖🐖🐖🐖🐖 Watu wengi wameanzisha miradi ya ufugaji lakini wamejikuta wameingia kwenye vikwazo vingi vinavyo warudisha nyuma na kushindwa kufikia malengo na kilele cha mafanikio kwa muda uliopangwa. *Suluhisho kubwa ni kupata ujuzi wa muhimu unaotakiwa/hitajika kwa muda mwafaka kabla na wakati wote wa uendeshaji wa miradi ya ufugaji* UJUZI HUO NI PAMOJA NA VITU MUHIMU VILIVYOTAJWA HAPA

DHIBITI MAGONJWA YA MINYOO KWA MIFUGO

~■WORMS■~ Afya ya Mifugo ~| Afya ya binadamu ~| Afya ya jamii. Tumia sekunde 30 kujifunza kitu like page yetu jifunze Ufugaji bora kila siku.  Magonjwa ya Minyoo yanaweza kuzuilika/Kutibika kwa wakati ili kuimarisha afya nzuri kwa mifugo na binadamu~ na  kujihakikishia uzalishaji wa mifugo ulio bora. ~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~ 

UFUGAJI WA SUNGURA

SIFA ZA BANDA ZURI LA SUNGURA                                  i.             Liweze kuingiza hewa ya kutosha                                ii.             Liwe na miundombinu inayorahisisha wakati wa kusafisha                               iii.             Lisiwe na ncha kali (weka wavu kwenye sakafu)           ...

Farmers Platform


Minyoo kwenye mbuzi (cyst from goat)

PLASTIC BAGS

PLASTIC BAGS
Mifuko ya plastiki ni hatari kwa mifugo yako. Huleta hasara na kushuka kwa uzalishaji wa kipato (Pile of bags more than 1Kg removed from one goat kama tunaweza kuona afya isiyoridhisha kwa huyu mbuzi

FRACTURE IN CATTLE

FRACTURE IN CATTLE
Management of fracture

UFUGAJI WA KUKU KWA TIJA

UFUGAJI WA KUKU KWA TIJA
KITABU CHA MWONGOZOUFUGAJI WA KUKU

UFUGAJI WA NGURUWE KWA TIJA

UFUGAJI WA NGURUWE KWA TIJA
KITABU CHA MWONGOZO BORA UFUGAJI WA NGURUWE, TENGENEZA FAIDA NDANI YA MUDA MFUPI

FUGA KWA TIJA

FUGA KWA TIJA
Fahamu kanuni za lishe bora kwa mifugo yako

MBINU ZA UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI

MBINU ZA UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI
MBINU ZA UFUGAJI

Mimea hii ni sumu kwa mifugo yetu husababisha vifo vya ghafla

Mastitis in goat