Kwa nini tunafuga Mbwa?
1⃣. Malengo ya Usalama Nyumbani, Polisi
2⃣kuondoa upweke na kutoa kampani: -Pets
3⃣Uwindaji
4⃣Mashindano na burudani ya maonyesho ya Mbwa (Greyhounds)
5⃣Uongozi wa vipofu. (Mbwa mwongozo)
Kwa ujumla Mbwa nchini Tanzania wengi ni jamii ya Mbwa Asili wa kiafrika kama MONGREL
Mbwa walioingizwa kutoka nje ni pamoja na jamii za Mbwa asili wanajulikana kama:
1⃣German sherpherd (Alsation) mbwa wa kipolisi
2⃣ Doberman
3⃣Labrador - retriever
4⃣Roitweiller
5⃣Afghan-hound
6⃣ Ridgeback . n.k
✅Kwa kawaida Kipindi cha kubeba mimba kwa mbwa jike toka kupandishwa hadi kuzaa watoto ni siku 63.
✅Mbwa madume wanauwezo wa kupanda na kusababisha mimba kuanzia miezi 9-12.
✅Mbwa wadogo ni miezi 6-9
Mbwa wakubwa ni miezi 12
✅Mbwa jike anauwezo wakupata mimba kuanzia miezi 6-9.
KWA MAHITAJI YA MBWA MZURI NA USHAURI WA KITALAMU
Dr Riziki Ngogo (Vet Dr)
0763222500
afyamifugo@gmail.com
afyamifugo.blogspot.com
AfyaMIFUGO Tz

Jamani hakikisheni jina la Dog breed nisahihi kutokana na picha mlioweka. Mmeandika Labrador retriever alafu akaweka mbwa aina tofauti
JibuFuta