UFUGAJI NI MAARIFA
*DHIBITI UGONJWA WA MDONDO/KIDELI (Newcastle) KWA KUKU*
[Part 1 AfyaMIFUGO🇹🇿:)*DHIBITI UGONJWA WA KIDELI (Newcastle) KWA KUKU*
[Part 1 AfyaMIFUGO🇹🇿:)
*Kideli/MDONDO (Newcastle) ni nini* ❓
🐓Huu ni ugonjwa hatari kwa ufugaji wa kuku unaosababishwa na virusi.
🐓ugonjwa huu huathiri sana kuku mfumo wa kupumua, na kusababisha kushuka kwa uzalishaji wa mayai na vifo vingi kufikia 100% kwa kuku wagonjwa.
[Part 02] AfyaMIFUGO🇹🇿
*Visababishi* ❓
1.maji yenye vimelea vya ugonjwa
2.kuku wagonjwa
3.Kuku wanaweza kuambukizwa Virus vya Kideli kutoka kwa kuku mgonjwa mwenye virusi asieonyesha dalili mwanzoni mwa ugonjwa kuingia, au wakati wa hatua ya kuku mgonjwa kutoa dalili.
4.Virus vinaweza pia kuwa katika mayai yaliyowekwa wakati wa ukusanyaji wa mayai kutoka kwa kuku wagonjwa na katika sehemu zote za mzoga wakati wa maambukizi ya papo hapo.
kuku huambukizwa virusi kwa njia ya hewa, maji na kinyesi.
[Part 3] AfyaMIFUGO🇹🇿:
*Dalili za Kideli (Newcastle)* ❓
1. Kukunja shingo na kupooza kwa mbawa na miguu
2.Cyanosis
3.Facial edema
4.Diarrhoea
5.Kushuka katika uzalishaji wa mayai
6.Kufa kifo
7.Vidonda vingi
8.Uharibifu wa mfumo wa damu ndani ya tumbo damu kuvilia katika proventiculus (tumbo)
9.Utando katika njia ya kupumua, hasa katika trachea.
[Pary 04] AfyaMIFUGO🇹🇿
*Kuzuia na kudhibiti* ❓
🐓Magonjwa ya virusi yanaweza kuzuiwa kwa ufanisi mkubwa sana
na njia ya kutumia chanjo kama (La Sota, F, B1) kinga tumia ratiba ya chanjo mapema chanjo ya awali kama siku ya 1-7 ya kifaranga. kupitia njia ya jicho au pua
🐓Virusi hivi vya Paramyxovirus huathiriwa na (joto, mionzi na pH) Pia huathiriwa na misombo ya kemikali kama (potasiamu permanganate, formalin, ethanol, nk).
🐓Usafishaji sahihi wa mabanda na incubators inaweza kusaidia kuua virusi.
🐓Ni muhimu Kuzingatia kuzuia ugonjwa huu kwa Kusafisha mabanda na vifaa mara kwa mara kwa kutumia potasiamu pamanganeti(1: 1000), sodiamu hidroksidi (2%) au Lysol (1: 5,000)
Kwa Msaada Zaidi
👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿
Dr Riziki Ngogo (BVM)
AfyaMIFUGO 🇹🇿
afyamifugo.blogspot.com
0763222500

Maoni
Chapisha Maoni