✅KWA WAFUGAJI MAKINI.
*JIFUNZE NAMNA BORA YA KUEPUKA HASARA ITOKANAYO NA MIRADI YA MIFUGO KWA KUKOSA MAARIFA SAHIHI JUU YA UFUGAJI.*
✅ *UJUZI/AKILI NI MTAJI MUHIMU KWENYE UFUGAJI.*
Hivyo kipato unachokipata kutoka kwenye kazi za ufugaji kinawakilisha asilimia 6% ya mtaji/ujuzi ulonao kichwani.
Mtaji wa ujuzi/maarifa unathamani kubwa kuliko mtaji wa fedha.
*epuka kuangamia kwa kukosa maarifa*
✅Maarifa/Ujuzi sahihi ukitumika ipasavyo kama mtaji wa ufugaji wa tija kibiashara ni ni kitu(mtaji/capital) cha kwanza cha muhimu ambacho kila mfugaji anatakiwa kuwa nacho wakati wote ili kufanikisha kufikia malengo ya ufugaji bila matatizo.
*⃣Kwasababu÷
1⃣ Mtaji ujuzi (Maarifa) Hubaki kama akili kwa mfugaji ukishaupata hauwezi kupungua kiasi chake,
2⃣Hauwezi kuibiwa
3⃣Hauwezi kutumika ukaisha(akiba ya mtaji usioisha)
Sote tunaweza kusema kwa kujiamini kwamba÷
*PESA KAMA MTAJI WA UFUGAJI HATA ZIWE NYINGI KIASI GANI, HAZIWEZI KULETA FAIDA KWENYE UFUGAJI BILA KUCHANGANYWA NA UJUZI/MAARIFA SAHIHI.*
*Wafugaji tunapata hasara kwa kukosa maarifa*
✅AfyaMIFUGO Tz, Tumeandaa namna bora ya kupata maarifa sahihi yanayohusu ufugaji kwa gharama nafuu zaidi.
✅Tunawaunganisha wafugaji wote nchini ndani na nje ya nchi kisha tutapata nafasi ya kujadili changamoto mbalimbali, kupata maarifa na kubadilishana uzoefu, kupata taarifa na msaada kutoka kwa wataalam wetu wa mifugo.
✅Tuma # namba yako ya simu ya Whatsap 0763222500 uunganishwe na kundi la wafugaji ili uweze kuwa sehemu ya kundi.
✅Kuna faida nyingi za kujiunga na kundi hili kwa wafugaji wazoefu wataongeza ujuzi/maarifa kwa wanaoanza kufuga watatumia maarifa sahihi kwenye miradi yao ya ufugaji. Na wahusija wote tutapata maarifa na mbinu mbalimbali za kupunguza gharama za uzalishaji.
*⃣Jiunge sasa kabla kundi halijajaa*
By Dr Riziki Ngogo(Vet Dr)
AfyaMIFUGO Tz
0763222500
afyamifugo.blogspot.com
afyamifugo@gmail.com

Maoni
Chapisha Maoni