*FAHAMU UMUHIMU WA DCP KWA MIFUGO.*
DCP=Dicalcium Phosphate
✅*DCP ni nini ?*
DCP ni mchanganyiko wa madini ya Calcium na Phosphorus.
DCP husaidia wanyama wenye upungufu au maradhi yatokanayo na ukosefu wa madini haya ya Calcium na Phosphorus
✅FAIDA KWA KUKU: Huzuia kudonoana, kula mayai, maganda malaini, huimarisha maganda ya mayai, Pia husaidia utagaji wa mayai
✅FAIDA KWA WANYAMA WENGINE: Huzuia ng’ombe kuanguka, viungo dhaifu na huimarisha mifupa na kupunguza matatizo ya mifupa.
📞Dr Riziki Ngogo(DVM)
☎*AfyaMIFUGO Tz*
0763222500
afyamifugo@gmail.com
afyamifugo.blogspot.com

Maoni
Chapisha Maoni