Coccidiosis ni nini?
Ni ugonjwa unaosababisha Vifo vingi vya kuku. ni mojawapo ya magonjwa mabaya ya kuku.
Mlipuko wa ugonjwa huu mara nyingi hutokea sana kwa kawaida kuku wwnye umri kati ya wiki 3 hadi 6.
Husababisha vifo vikali kwa broilers na pia kwa wafugaji wanaofugia kwa mfumo wa *deep liter system*
Na hivyo huleta hasara kubwa zaidi kiuchumi kwa mfugaji wa kuki.
Kuku wengi hupata ugonjwa huu kupitia; 1. Chakula 2. Maji.
Ueneaji huongezeka kulingana na .
1.Harakati za muingiliano wa watu kwenye banda moja hadi lingine,
2.vifaa vinavyotumika kwenye banda kama mabuti na nguo.
3.Pia unaweza kuenea kwa njia ya mende, panya, pets na ndege wa mwitu.
Dalili zake ni pamoja na
1.kuku Kuharisha kinyesi chenye damu
2.kuku hupata Ukosefu wa maji mwilini
3. Kuku Kushindwa kuchangamka
4. Kuku kukonda
5. Kushuka kiwango cha mayai
6.vifo vingi
Kinga na matibabu dhidi ya Coccydiosis .
AfyaMIFUGO Tz
Dr Riziki Ngogo
0763222500
afyamifugo.blogspot.com
UFUGAJI NI MAARIFA

Maoni
Chapisha Maoni