AfyaMIFUGO Tz tunawashukuru watu wote mlio amua kuacha kazi zenu na kutumia muda huo kuhudhuria mafunzo ya ufugaji wa kuku. Mwenyezi Mungu awasaidie kile mlichonifunza na ujuzi mliopata ukapate kuwa moja ya njia ya kutatua changamoto za ufugaji wa kuku na kufikia malengo ya ufugaji wa tija.
UFUGAJI NI MAARIFA, Kuna tofauti kati ya kufuga kuku na kuishi na kuku.
Bado tunaendelea kuwa karibu na wafugaji na kuwapa ujuzi wa kufuga kitaalam hivyo unakila sababu ya kuwa mfugaji bora.
KARIBUNI KWA SEMINA NYINGINE NA HUDUMA ZA AFYA YA MIFUGO

Maoni
Chapisha Maoni