FAHAMU KUHUSU DUME LA SUNGURA LA MBEGU.
Dume la Sungura linauwezo wa kutumika vizuri kwa kupandisha majike ya sungura baada ya miezi 8.
Kabla ya kutimiza mwaka 1 Anaweza kupanda sungura jike 1 kila baada ya siku 3 au 4.
Na baada ya kufikia umri wa miezi 12 (mwaka1) na zaidi anauwezo wa kutumika kupandisha majike 4-6 ndani ya siku 7 (wiki1).
Na baada ya kufikia umri wa miezi 12 (mwaka1) na zaidi anauwezo wa kutumika kupandisha majike 4-6 ndani ya siku 7 (wiki1).
Sungura madume waliozeeka wwnye umri kuanzia miaka 6 na zaidi hawatakiwi kutumika kwenye uzalishaji kwani ubora wa nguvu zao hupungua kufikia umri huo.
Kitalaam unashauriwa kuhakikisha sungura wako wa mbegu anapata nyongeza ya chakula chenye virutubisho aina ya protein, Vitamini na Madini ili kuwafanya wawe na afya nzuri wakati wote.
Pia unashauriwa kutowwka madume ya mbegu zaidi ya mmoja ndani chumba au banda moja kwa sababu madume wanatabia ya kupigana na kuumizana vibaya pindi wanapokaa pamoja.
by Dr Riziki Ngogo
FARMERS Platform
0763222500
0652515242
FARMERS Platform
0763222500
0652515242
Follow zaidi
http://www.afyamifugo.blogspot.com/
http://www.facebook.com/farmersplatform/
http://www.instagram.com/farmers_platform/
PATA SUNGURA BORA, MWONGOZO BORA UFUGAJI WA SUNGURA NA HUDUMA BORA POPOTE ULIPO.
JIUNGE NASI SOMA PATA MAARIFA FUGA TAJIRIKA.
Maoni
Chapisha Maoni