SIKU YA 1 -5:
1. NEOXYVITAL AU OTC PLUS NA TYPHOPRIUM AU TRIMAZIN,
2. FLUBAN NA VITAMINI KAMA VILE BROILER
BOOST AU AMINOVIT AU SUPERVIT BROILER AU VITALYTE.
CHAKULA:
WEKA VIGOSTART AMBAYO INA RIDOCOX KWENYE CHAKULA, KILO MOJA KWA
MFUKO KUANZIA WIKI YA KWANZA HADI NNE ILI KUZUIA COCCIDIOSIS. BAADA YA KUACHA
KUACHA ENDELEA KUTUMIA RIDOCOX 200g/TANI
KWA KUZUIA COCCIDIOSIS HADI WIKI 1 KABLA YA KUUZA KWA WALE WA NYAMA NA WANAPOANZA KUTAGA KWA WALE WA MAYAI.
SIKU YA 6:
VITAMINI(VITASTRESS.)
SIKU YA 7:
CHANJO YA NEWCASTE MASAA
MAWILI TU. WEKA MAJI YA VITAMINI (VITASTRESS) MARA BAADA YA KUTOA MAJI YA
CHANJO.
WIKI YA PILI:
CHANJO YA GUMBORO MASAA MAWILI TU. HALAFU ENDELEA NA MAJI YA VITAMIN
(VITASTRESS)
WIKI YA TATU:
DOXYCOL AU CTC 20% AU ANFLOX GOLD AU FLUBAN NA AMPROLIUM, VITALYTE AU VITASTRESS, MOLASSES KWA SIKU 5-7
WIKI YA NNE:
HAKIKISHA
KUKU WA NYAMA WANAKUWA KATIKA DOZI KUBWA YA VITAMINI (VITASTRESS/BROILER BOOST/SUPERVIT BROILER.)
WIKI YA TANO:
HAKIKISHA
KUKU WANAKUWA KATIKA DOZI NDOGO YA VITAMINI (VITASTRESS/VITALYTE/BROILER BOOST/SUPERVIT BROILER.)
WIKI YA SITA:
WAPE KUKU MAJI YA VITAMINI ASUBUHI NA MATUPU JIONI.
afyamifugo.blogspopt.com
Riziki Ngogo (Vet Dr)
0763222500
0652515242
afyamifugo@gmail.com
AfyaMIFUGO Tz
Asanteni nimejifunza na nafanyia kazi nnao kuku mia moja broilers Leo ni siku ya nne tangia niwanunue
JibuFuta