2.
Eneo la bwawa liwe na ardhi yenye udongo mzuri
3.
Umiliki wa eneo wa uhakika
ili kuepuka usumbufu na hasara
4.
Eneo lisilokuwa na muinuko mkali
5.
Eneo lisilokuwa na mafuriko
6.
Eneo linalofikika kwa urahisi ili kurahisisha kazi za kila siku
7.
Upatikanaji wa huduma za mtaalam wa ufugaji wa samaki katika eneo
husika.
8.
Eneo lisilokuwa na migogoro
9. Uhakika wa soko na masoko
KWA
USHAURI SAHIHI NA MSAADA ZAIDI JUU YA UFUGAJI WA SAMAKI
a)
Kiasi cha mtaji unaohitajika kwa ajili ya ufugaji wa samaki…….(the
resources required for the farm)
b)
Msaada na ushauri juu ya ujengaji wa mabwawa na dizaini ya mabwawa
ya samaki (design of ponds and layouts)
c)
Msaada na ushauri juu ya kuendesha mradi wa samaki (how the farm
will be managed)
d)
Msaada na ushauri juu ya mpango wa uzalishaji samaki (the production
plan)
e)
Hatua kwa hatua ufugaji wa samaki
AfyaMIFUGO
Tz tunahakikisha unafuga samaki kwa tija ili kuweza kufikia malengo yako ya
muda mfupi wa kati na mrefu.
AfyaMIFUGO Tz
Riziki Ngogo (Vet Doctor)
0763222500/ 0652515242
Afyamifugo.blogspot.com
afyamifugo@gmail.com
Maoni
Chapisha Maoni