1.
Utayari wa kufuga samaki na kujituma
2.
Mtaji wa kutosha
3.
Ujuzi na hobi ya kupenda kufuga
4.
Uhakika wa umiliki wa ardhi kwa ajili ya kufugia samaki
5.
Uhakika wa kupata Maji kwa ajiri ya bwawa la kufugia samaki.
AfyaMIFUGO
Tz tunahakikisha unafuga samaki kwa tija ili kuweza kufikia malengo yako ya muda
mfupi wa kati na mrefu.
AfyaMIFUGO
Tz
Riziki
Ngogo (Vet Doctor)
0763222500/
0652515242
Afyamifugo.blogspot.com
afyamifugo@gmail,com
Maoni
Chapisha Maoni