*NINI KIFANYIKE ILI KUEPUKA KUSHUKA KWA KIPATO /THAMANI YA BIDHAA ZITOKANAZO NA UFUGAJI WA KUKU?❓*
🐓➡💵
Soma elewa kisha fanya kwa vitendo
✅ *PANGA MWONGOZO WAKO WA UTENDAJI WA KAZI ZINAZOHUSU KUFUGA KUKU KATIKA MAKUNDI MAKUBWA MATATU kama ifuatavyo*
1⃣ mwongozo wa kazi za kila siku
🐓 *Ulishaji wa chakula* zingatia muda na kiasi sahihi. Tumia vyombo visafi
🐓 *Maji ya kunywa* Tumia maji safi na salama, zingatia usafi wa vyombo vya maji.
🐓 *ukusanyaji wa mayai* muda wa ukusanyaji na kiasi cha mayai.
( *kama utagaji mayai umepungua, angalia kiasi na ubora wa chakula, idadi ya kuku katika banda, dalili za ugonjwa na wadudu waenezao na kusababisha magonjwa*
🐓 *Kinyesi cha kuku* kama kuna dalili za kuharisha *Tumia dawa sahihi na safisha vyombo vilishio na vinywesheo*
🐓 *Ubora wa mayai* ( kama ni makubwa kupita kiasi au madogo kupita kiasi) zingatia ubora na kiasi cha chakula sahihi, ongeza madini ya calcium
🐓 *Angalia tabia za kuku ndani ya banda kwa makundi yao na mmoja mmoja* kama tabia haiko sawa angalia kama kuna kuku wagonjwa watenge na weka sawa uwiano wa vinywesheo na vilishio.
🐓 *Angalia kama kuna Vifo*
2⃣mwongozo wa kazi za kila mwisho wa wiki
🐓 Wastani wa asilimia za utagaji mayai, wastani wa uzito wa kuku na wastani wa uzito wa mayai
🐓Vifo
🐓Usafi wa vilishio na vinywesheo
🐓Visababishi vya magonjwa
🐓Angalia rangi ya kiini cha yai
3⃣mwongozo wa kazi za kila mwisho wa mwezi
🐓Usafi wa Viota
🐓Kuweka maranda /matandazo
🐓Andika andiko la kumbukumbu la mwezi
4⃣ *zingatia ratiba ya chanjo kwa umakini sana*
*Ili kukabiliana na changamoto ni muhimu kufahamu vitu mbalimbali vya muhumu kutoka kwa mtu mwingine anayefanya vitu vinavyofanana na unachotaka kukifanya wewe*
*MIFUGO BIASHARA INAWEZEKANA WEWE ULIYEIPATA ELIMU HII IKUSAIDIE UFANIKIWE NAWE UWASAIDIE WENGINE*
☎📞Riziki Ngogo(Vet Dr)
AfyaMIFUGO Tz
afyamifugo.blogspot.com
0763222500/0652515242
rizikingogo@gmail.com

Maoni
Chapisha Maoni