JE! UFUGAJI WA KUKU UNALIPA?
🐥 ➡ 🐓 ➡ 💵
*ndio unalipa*
📌#Zingatia tofauti kati ya kuishi na kuku na kufuga kuku kibiashara.#
*KANUNI ZA KUONGEZA KIPATO NA KUKUA KIUCHUMI KUPITIA UFUGAJI WA KUKU*
✅1. *Chagua mbegu bora kutoka chanzo bora*
🐓Tumia kuku wazazi (asili) wenye sifa nzuri kiafya, uzalishaji, umbile kulingana na mahitaji ya mlaji
✅2. *Ujenzi wa banda la kuku bora*
🐓banda liendane na mahitaji na aina ya kuku.
🐓liweze kupunguza gharama za uzalishaji na uendeshaji
🐓liwe na nafasi sahihi kulingana na idadi ya kuku
🐓liwe imara na la kudumu
🐓zingatia mazingira na hali ya hewa
*epuka watu wasiohusika kuingia ndani ya banda*
✅3. *Kudumisha afya bora*
💉zuia/kinga magonjwa kuepunguza gharama za matibabu
💉tafuta ujuzi wa kutambua magonjwa mapema
💉zingatia tiba sahihi kwa ugonjwa, *omba msaadakwa mtaalamu unaemuamini*
💉zingatia usafi wa banda
💉tumia chanjo sahihi kwa wakati
✅4. *Tumia chakula kizuri kinachokidhi tija ya uzalishaji*
🐓andaa chakula bora kwa kutumia formula(kanuni) sahihi.
🐓zingatia ratiba na muda sahihi wa kulisha kuku
🐓chakula kiendane na umri na aina ya kuku
*Changamoto usipozingatia haya*
🐓kuku wanaweza kudumaa na kuchelewa kukua
🐓kuku wa mayai kushindwa kutaga inavyostahili
🐓kupata magonjwa yatokanayo na chakula/lishe isiyokuwa na virutubisho sahihi
✅5. *Mtunzaji wa kuku*
🐓awe na uelewa na ujuzi juu ya utunzaji wa kuku na mahitaji ya kuku
🐓kujituma
🐓Ajue na aweze kufanya kazi za kila siku kwa umahiri na usahihi
*usibadilishe wahudumu wa kuku mara kwa mara*
✅6. *Usimamizi sahihi*
🕞tumia muda wako vizuri kusimamia mradi wa kuku hatua kwa hatua.
*epuka kufuga kwa simu*
✅7. *Utunzaji wa kumbukumbu*
📝weka kumbukumbu zote za kifedha, iliyotumika na faida
📝weka kumbukumbu za mzunguko wa uzalishaji
📝weka kumbukumbu za matitabu na chanjo.
*tumia daktari kwa uhakika zaidi*
✅8. *kutafuta soko na masoko*
💵zalisha bidhaa kwa kufuata mahitaji ya mlaji
💵Ongeza thamani ya bidhaa/huduma
💵zalisha kwa ushindani
💵dumisha mzunguko wako wa kulihudimia soko
💵kuwa na mahusiano mazuri kati ya muuzaji na mteja wako.
💵Tafuta soko jipya
*MIFUGO BIASHARA INAWEZEKANA, MUNGU AKUBARIKI WEWE ULIYEIPATA ELIMU HII IKUSAIDIE UFANIKIWE NAWE UWASAIDIE WENGINE*
🐄🦆🐐🐇🐟🐈🐖🐓
☎📞Riziki Ngogo(Vet Dr)
*AfyaMIFUGO Tz*
*0763222500/0652515242*rizikingogo@gmail.com

Maoni
Chapisha Maoni