*JE SHUGHULI GANI YA KIBIASHARA UNAWEZA KUFANYA KWENYE MNYORORO WA UFUGAJI WA KUKU?*
(Which form of enterprise can be done?)
UCHUNGUZI NI MUHIMU
🐓➡💵
💵Kuuza chakula cha kuku
💵Ufugaji wa kuku wa kienyeji
💵ufugaji wa kuku wa mayai(layers)
💵Ufugaji wa kuku wa nyama (broiler)
💵Ufugaji wa kuku chotara
💵Utotoleshaji wa mayai na kuuza vifaranga
💵Kuandaa nyama ya kuku na kuuza nyama ya kuku
💵Kutoa huduma za afya na chanjo kwa kuku.
*Ili kukabiliana na changamoto ni muhimu kufahamu vitu mbalimbali vya muhumu kutoka kwa mtu mwingine anayefanya vitu vinavyofanana na unachotaka kukifanya wewe*
*MIFUGO BIASHARA INAWEZEKANA WEWE ULIYEIPATA ELIMU HII IKUSAIDIE UFANIKIWE NAWE UWASAIDIE WENGINE*
☎📞Riziki Ngogo(Vet Dr)
AfyaMIFUGO Tz
0763222500/0652515242
afyamifugo.blogspot.com
afyamifugo@gmail.com

Maoni
Chapisha Maoni