~■WORMS■~ Afya ya Mifugo ~| Afya ya binadamu ~| Afya ya jamii. Tumia sekunde 30 kujifunza kitu like page yetu jifunze Ufugaji bora kila siku. Magonjwa ya Minyoo yanaweza kuzuilika/Kutibika kwa wakati ili kuimarisha afya nzuri kwa mifugo na binadamu~ na kujihakikishia uzalishaji wa mifugo ulio bora. ~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
FARMERS PLATFORM PATA MAARIFA, FUGA, TIMIZA MALENGO Bonyeza hapa kutazama bidhaa Kwa nini Jiwe la Madini ni muhimu kwa Wanyama? Kwa kukosekana kwa chumvi chumvi na madini; hamu ya kula hupungua, ukuaji hupungua, uzalishaji wa maziwa na nyama hupungua, matatizo ya uzazi yanaweza kupatikana, mfumo wa kinga (mfumo wa ulinzi) hudhoofika na wanyama hushambuliwa na magonjwa. Kukosa madini haya kunaweza kupeleka tabia zifuatazo kwa wanyama; kula na kulamba vitu visivyo vya chakula (jiwe, udongo, mfupa, sachet, nguo, nk) Wanyama hutumia JIWE LA MADINI/ MINERAL BLOCK Mfululizo kwa ajili ya kufidia kiasi Cha madini kilichopungua mwilini. Kesi za kuhara zinazotokana na tabia hizi pia huzuiwa ikiwa mnyama atapata madini inavyopaswa. Kiasi cha Matumizi: matumizi ya kila siku kwa MINERAL BLOCK; Ng'ombe kila siku 80 gr / siku, Kondoo, mbuzi 5-15 gr / siku. Bonyeza hapa kutazama bidhaa Why Mineral Block in Animals? In the absence of salt and mineral matter; appetite decreases, g...