SABABU ZINAZOFANYA WAFUGAJI/WAJASIRIAMALI WENGI, KUSHINDWA KUFIKIA MALENGO?* 1. *MAARIFA YA KUTOSHA/ UJUZI SAHIHI.* Watu Wengi wanakimbilia ufugaji/kilimo baada ya kuona majirani na marafiki zao wamepata mavuno bora na yenye faida. Watu wa aina hii hawatengi muda wao wa kujifunza kuhusu mienendo ya soko na mahitaji na uzalishaji wa bidhaa na mazao ya mifugo.
JIPATIE MITAMBA BORA YA NG'OMBE WA MAZIWA Umri = miaka 2 Heifer Hali yake mwa sasa= Hana mimba Aina = Friesian Uzalishaji wa maziwa= Mama ana Record nzuri Mawasiliano Simu 0763222500 Email afyamifugo@gmail.com UNGANA NASI ZAIDI KUPITIA http://www.instagram.com/farmers_platform/ http://www.facebook.com/farmersplatform/ http://www.afyamifugo.blogspot.com/ https://farmersplatform.site123.me/