SOMA, FUGA, TAJIRIKA *ReSta AgroVET* Jina la kitabu: *MWONGOZO BORA UFUGAJI WA KUKU* ___________________ *Kinahusu nini?* Ni kitabu kinachohusu ufugaji wa kuku wa aina zote; *Kuku wa mayai (layers)* *kuku wa nyama (broiler)* *kuku wa kienyeji* *kuku chotara* _____________________ Kimeandaliwa na: *Dr Riziki Ngogo (DVM)* _____________________ *Utangulizi* _______________ _______________ Kitabu hiki kimeandaliwa ili kiwe *mwongozo bora* kwa ufugaji wa kuku wa aina zote, Layers(kuku wa mayai), Broiler (kuku wa nyama), Kienyeji na Chotara. Kwa kufuata mahitaji ya ujuzi/maarifa yanayohitajika ili kuleta tija katika ufugaji wa kuku. ______________ *Jifunze na pata maarifa*/ujuzi wa kutosha kupitia nyenzo hii kwa kusoma na kuelewa vizuri. _________________ Faida ya Kitabu hiki mbali na *kukuonyesha njia juu ya nini kifanyike*, pia kitakupa mwongozo wa *namna unavotakiwa kufanya Hatua kwa Hatua*. _________________ Ka...
_UFANISI WA KUKU_ Fahamu kuwa, kwa kawaida kuku hunyonyoka manyoya na kuota manyoya mapya katika vipindi tofauti vya ukuaji wa kuku. *_Moulting_* Kunyonyoka manyoya na kubadilisha manyoya mapya hutokea kuku akiwa na umri wa kianzia wiki ya 4-5, wiki ya 8, Wiki ya 13, Wiki ya 20. Pia angalau mara moja kwa kila mwaka akifikia umri wa utagaji. Visababishi vingine vinavyochangia kunyonyoka manyoya na kuota manyoua mapya ni pamoja na _mabadiliko na upungufu wa chakula, mabadiliko ya kimsimu ya hali ya hewa, mabadiliko ya ghafla ya mwanga_ n.k Tambua kuwa kunyonyoka manyoya kunaweza kuathiri ufanisi wa kuku katika ukuaji/kuongezeka uzito na utagaji, hivyo unashauriwa kufanya yafuatayo, _1. Punguza stress kwa kuku._ _2. Tumia chakula bora chenye protein ya kutosha._ _3. Epuka mabadiliko ya ghafla kwenye mwanga, chakula n.k._ ●By Dr Riziki Ngogo 0763222500 #ReSta AgroVET #FARMERS Platform # INTERCHICK- ...