Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Aprili, 2018
Pata huduma zifuatazo" matibabu na chanjo kwa mifugo, tunasimamia miradi ya mifugo, tunatoa Ushauri kwa wafugaji, tunadesign mabanda ya mifugo, huduma ya uhimilishaji, Elimu na Vitabu vya mwongozo bora wa ufugaji, mbegu bora za mifugo +255746031005 KARIBU SANA AFYA MIFUGO AGROVET KIBAHA PICHA YA NDEGE

WHAT EVERY CHICKEN NEEDS

What Every Chicken Needs Raising chickens seems fairly simple, right? Well, yes, that’s actually mostly true (assuming you’re prepared to do some work now and then). But with chickens come needs, as with any animal you’re caring for. What does every chicken need to be happy and healthy? It may sound obvious, but here is what every chicken needs. Warm Coop/Housing Chickens like space to run around, but they need a safe place to return to for roosting every night or while laying. Inside that coop then you’ll want to make sure there are comfortable nesting boxes set up to allow the chickens to lay to their heart’s content. However, just because you provide nests doesn’t mean you’re done. Every coop should also have a roosting bar placed high up. Not all chickens will want to roost high up, but it’s good to give the option as chickens in the wild generally prefer to sleep in trees and such. The importance of the coop is magnified during the various seasons. If it’s cold ou

Sifa za Dume la Mbuzi/Kondoo

Dume bora awe na sifa zifuatazo:- Ili kuleta tija katika ufugaji wa nbuzi/ kondoo kwa sababu uzalishaji au nusu ya kundi la mbuzi au kondoo mwonekano wake wa leo umetokana na dume lililotumika katika uzalishaji shambani kwako.

UFUGAJI WA KUKU WA ASILI KWA FAIDA

A Little education may help to improve your poultry farming. 🥚🐓Ili  kuongeza uzalishaji wa kuku bora katika mradi wa kuku ni muhimu kutumia kuku wazazi wazuri na wanaotaga mayai mazuri  kwa ajili ya maendeleo ya aina ya kuku wazuri bandani kwako.

FAHAMU KUHUSU UFUGAJI WA NYUKI

*UFUGAJI WA NYUKI KWENYE MIZINGA* 🐝🐝🐝🐝🐝🐝🐝 Nyuki ni chanzo cha uzalishaji wa asali 🐝Ufugaji nyuki (au *apiculture*,  jina limetokana na neno la Kilatini apis= nyuki)  🐝Apiculture ni ufugaji wa nyuki wa asali unaohusisha utengenezaji wa mizinga ya nyuki, mara nyingi ikiwa ni pamoja na kuwazalisha nyuki kwa makundi toafauti tofauti. 🐝 Mfugaji wa nyuki (au apiarist) hufuga nyuki ili kukusanya asali na bidhaa nyingine zitikanazo na ufugaji wa nyuki.  🐝Eneo ambapo nyuki wanahifadhiwa au kufugwa huitwa "apiary" 🐝Asali hutumika kama chakula pia inajulikana kuwa na thamani ya dawa. Inajulikana kuwa muhimu sana katika matibabu ya matatizo mbalimbali ya wanadamu kuhusiana na mmeng'enyo wa chakula yaani  digestion, ugonjwa wa kuhara kutapika, magonjwa ya  tumbo na ugonjwa wa ini. 🐝 Utafiti wa kisasa unaonyesha kwamba asali: 🐝Inazuia ukuaji wa bakteria ya mdomo Inatengeneza layer mdomoni na  kwenye koo na hupunguza vidonda kooni.
TUNATOA USHAURI HATUA KWA HATUA KUHUSU UFUGAJI, HUDUMA ZA MATIBABU KWA MIFUGO, TUNABUNI RAMANI ZA MABANDA YA MIFUGO KULINGANA NA AINA YA MIFUGO, MAFUNZO YA MBWA, UFUGAJI KWA MTU BINAFSI NA VIKUNDI HUDUMA ZA CHANJO KWA MIFUGO,KANUNI/FORMULA NZURI ZA VYAKULA VYA MIFUGO TUNASIMAMIA MASHAMBA YA MIFUGO (FARM), TUNATOA MCHANGANUO WA FEDHA UNAOHUSIANA MIRADI YA UFUGAJI 0763222500

PATA MAARIFA FUGA TAJIRIKA

FAHAMU KUHUSU DUME LA SUNGURA LA MBEGU.

FAHAMU KUHUSU DUME LA SUNGURA LA MBEGU. Dume la Sungura linauwezo wa kutumika vizuri kwa kupandisha majike ya sungura baada ya miezi 8. Kabla ya kutimiza mwaka 1 Anaweza kupanda sungura  jike 1 kila baada ya siku 3 au 4. Na baada ya kufikia umri wa miezi 12 (mwaka1) na zaidi anauwezo wa kutumika kupandisha majike 4-6 ndani ya siku 7 (wiki1). Sungura madume waliozeeka wwnye umri kuanzia miaka 6 na zaidi hawatakiwi kutumika kwenye uzalishaji kwani ubora wa nguvu zao hupungua kufikia umri huo. Kitalaam unashauriwa kuhakikisha sungura wako wa mbegu anapata nyongeza ya chakula chenye virutubisho aina ya  protein, Vitamini na Madini  ili kuwafanya wawe na afya nzuri wakati wote. Pia unashauriwa kutowwka madume ya mbegu zaidi ya mmoja ndani chumba au banda moja kwa sababu madume wanatabia ya kupigana na kuumizana vibaya pindi wanapokaa pamoja. by Dr Riziki Ngogo FARMERS Platform 0763222500 0652515242 Follow zaidi http://www.afyamifugo.blogspot.com/ http://www.facebook

JIWE LA MADINI/ MINERAL BLOCK

FARMERS PLATFORM PATA MAARIFA, FUGA, TIMIZA MALENGO Bonyeza hapa kutazama bidhaa Kwa nini Jiwe la Madini ni muhimu kwa Wanyama? Kwa kukosekana kwa chumvi chumvi na madini; hamu ya kula hupungua, ukuaji hupungua, uzalishaji wa maziwa na nyama hupungua, matatizo ya uzazi yanaweza kupatikana, mfumo wa kinga (mfumo wa ulinzi) hudhoofika na wanyama hushambuliwa na magonjwa. Kukosa madini haya kunaweza kupeleka tabia zifuatazo kwa wanyama; kula na kulamba vitu visivyo vya chakula (jiwe, udongo, mfupa, sachet, nguo, nk)  Wanyama hutumia  JIWE LA MADINI/ MINERAL BLOCK Mfululizo kwa ajili ya kufidia kiasi Cha madini kilichopungua mwilini. Kesi za kuhara zinazotokana na tabia hizi pia huzuiwa ikiwa mnyama atapata madini inavyopaswa. Kiasi cha Matumizi: matumizi ya kila siku kwa MINERAL BLOCK;  Ng'ombe kila siku 80 gr / siku,  Kondoo, mbuzi 5-15 gr / siku. Bonyeza hapa kutazama bidhaa Why Mineral Block in Animals? In the absence of salt and mineral matter; appetite decreases, growth slows, mi

MBOLEA/ FOLIAR FERTILIZERS

BONYEZA HAPA KUONA BIDHAA ZINGINE Kwanini mbolea ya Booster? Booster ni mbolea kamili ya mimea iliyo na virutubishi vyote muhimu kwa ukuaji wa mmea wenye afya na mavuno bora. Imetengenzwa  maalumu ili kuweza kufyonzwa haraka kupitia majani ya mmea. BONYEZA HAPA KUONA BIDHAA ZINGINE Why Booster Fertilizer? Booster is a complete foliar fertilizer containing all the major macro and microelements essential to healthy plant growth and optimum yields. Booster formulated for rapid absorption through the leaves. BONYEZA HAPA KUONA BIDHAA ZINGINE

ZUIA NG'OMBE KUNYONYA MAZIWA

Dairy Cow self suckling / Calf Suckling Milk Preventer (Antisuckling). ||●Easy to use no side effects ||●This tool is available in our store buy today KIFAA CHA KUZUIA NG'OMBE ANAEKAMULIWA KUJINYONYA MAZIWA AU NDAMA KUNYONYA MAZIWA. ||●Ni rahisi kutumia na hakina madhara yoyote. ||●Kinapatikana ndani ya Store zetu. By Dr NgogoR Vet FARMERS Platform 0763222500 #F #A #R #M #E #R #S Platform #farmersguidebook#FARMERS#Farmersplatform#FarmersConsultation#VeterinaryFreeConsultation#AnimalWelfare#AnimalCare#Mifugo#Ufugaji#KIENYEJI#MBWA#KUKU#CHANJO#MATITABU#LISHE#DAIRYFARMING

SABABU ZA KUKU KUNYONYOKA MANYOYA

_UFANISI WA KUKU_ Fahamu kuwa, kwa kawaida kuku hunyonyoka manyoya na kuota manyoya mapya  katika vipindi tofauti vya ukuaji wa kuku. *_Moulting_* Kunyonyoka manyoya na kubadilisha manyoya mapya hutokea kuku akiwa na umri wa kianzia wiki ya 4-5, wiki ya 8, Wiki ya 13, Wiki ya 20. Pia angalau mara moja kwa kila mwaka akifikia umri wa utagaji. Visababishi vingine vinavyochangia kunyonyoka manyoya na kuota manyoua mapya ni pamoja na _mabadiliko na upungufu wa chakula, mabadiliko ya kimsimu ya hali ya hewa, mabadiliko ya ghafla ya mwanga_ n.k Tambua kuwa kunyonyoka manyoya kunaweza kuathiri ufanisi wa kuku katika ukuaji/kuongezeka uzito na utagaji, hivyo unashauriwa kufanya yafuatayo, _1. Punguza stress kwa kuku._ _2. Tumia chakula bora chenye protein ya kutosha._ _3. Epuka mabadiliko ya ghafla kwenye mwanga, chakula n.k._ ●By Dr Riziki Ngogo      0763222500    #ReSta AgroVET    #FARMERS Platform    # INTERCHICK-  Chicken School of Excellence FARMERS PLATFORM PATA

Farmers Platform


Minyoo kwenye mbuzi (cyst from goat)

PLASTIC BAGS

PLASTIC BAGS
Mifuko ya plastiki ni hatari kwa mifugo yako. Huleta hasara na kushuka kwa uzalishaji wa kipato (Pile of bags more than 1Kg removed from one goat kama tunaweza kuona afya isiyoridhisha kwa huyu mbuzi

FRACTURE IN CATTLE

FRACTURE IN CATTLE
Management of fracture

UFUGAJI WA KUKU KWA TIJA

UFUGAJI WA KUKU KWA TIJA
KITABU CHA MWONGOZOUFUGAJI WA KUKU

UFUGAJI WA NGURUWE KWA TIJA

UFUGAJI WA NGURUWE KWA TIJA
KITABU CHA MWONGOZO BORA UFUGAJI WA NGURUWE, TENGENEZA FAIDA NDANI YA MUDA MFUPI

FUGA KWA TIJA

FUGA KWA TIJA
Fahamu kanuni za lishe bora kwa mifugo yako

MBINU ZA UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI

MBINU ZA UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI
MBINU ZA UFUGAJI

Mimea hii ni sumu kwa mifugo yetu husababisha vifo vya ghafla

Mastitis in goat