Ruka hadi kwenye maudhui makuu
Pata huduma zifuatazo" matibabu na chanjo kwa mifugo, tunasimamia miradi ya mifugo, tunatoa Ushauri kwa wafugaji, tunadesign mabanda ya mifugo, huduma ya uhimilishaji, Elimu na Vitabu vya mwongozo bora wa ufugaji, mbegu bora za mifugo +255746031005 KARIBU SANA AFYA MIFUGO AGROVET KIBAHA PICHA YA NDEGE

KWA WAFUGAJI

KWA WAFUGAJI
Kwa nini utumie pesa nyingi wakati wa kutatua tatizo kama magonjwa kwa mifugo na wanyama, lishe duni na isio sahihi kwa mifugo yako, udumavu ukuaji wa mifugo usioridhisha, tabia za mifugo au wanyama zisizokuwa za kawaida kama kula mayai, kudonoana, kushuka kwa kiwango cha uzalishaji wa bidhaa na huduma zinazotokana na mifugo kama maziwa na mayai. ????


Kwanini mfugaji uhatarishe afya yako, majirani zako na watumiaji wa bidhaa na huduma zinazotokana na mifugo yako kwa magonjwa yanayoweza kuambukizwa kutoka kwa mnyama kwenda kwa binadamu yatokanayo na vimelea vya magonjwa ya virusi na bakteria na visumbufu kama chawa, kupe viroboto na utitiri???

Pata ujuzi na huduma za kitalamu sahihi
Fanya uchunguzi na jipange kabla ya kuanza ufugaji
Tumia chanjo sahihi
Tumia tiba na kinga sahihi
Pata ushauri sahihi

Jifunze kuwa sehemu ya suluhisho la matatizo yatokanayo na mifugo au wanyama unaofuga na kuweza kupunguza athari na gharama zinazoweza kuepukika.

AfyaMIFUGO Tz tumejikita kumuwezesha mfugaji kupata ujuzi na huduma za KITALAAM NA MUHIMU HATUA KWA HATUA Ili kuweza kumuondolea changamoto mfugaji makini mwenye nia ya kutumia mifugo kama sehemu ya kujiajiri kama biashara kama zilivyo biashara zingine

Moja ya jukumu tulilonalo ni kuisaidia jamii kwa ujumla kuondokana na Tabia na kitendo cha KUFUGA KWA MAZOEA (yaani kipato anachopata mfugaji kutokana na ufugaji ni kidogo sana au hasara kubwa inapatikana kwa sababu ya kufuga mifugo kwa muda mrefu na kwa gharama kubwa zinazoweza kuepukika)

ukiwa mfugaji bora na makini ni lazima kubadilika kuendana na dunia ya sasa yenye mabadiliko mbalimbali ikiwa ni pamoja na kukua kwa teknolojia mbalimbali,
AfyaMIFUGO Tz tunakuhakikishia na kukufumbua macho uone faida itokanayo na mifugo kwa KUFUGA KWA TIJA kwa kufuata misingi ya utalaam  HATUA KWA HATUA ili kupunguza gharama na kuongeza thamani ya kipato.

       “ kuna tofauti kubwa kati ya kuishi na mifugo nyumbani na kufuga mifugo kwa tija nyumbani”

Dr Riziki Ngogo (veterinarian)
0763222500  whatsap
0652515242
afyamifugo@gmail.com
AfyaMIFUGO Tz
afyamifugo.blogspot.com

Maoni

TUNATOA USHAURI HATUA KWA HATUA KUHUSU UFUGAJI, HUDUMA ZA MATIBABU KWA MIFUGO, TUNABUNI RAMANI ZA MABANDA YA MIFUGO KULINGANA NA AINA YA MIFUGO, MAFUNZO YA MBWA, UFUGAJI KWA MTU BINAFSI NA VIKUNDI HUDUMA ZA CHANJO KWA MIFUGO,KANUNI/FORMULA NZURI ZA VYAKULA VYA MIFUGO TUNASIMAMIA MASHAMBA YA MIFUGO (FARM), TUNATOA MCHANGANUO WA FEDHA UNAOHUSIANA MIRADI YA UFUGAJI 0763222500

PATA MAARIFA FUGA TAJIRIKA

Farmers Platform


Minyoo kwenye mbuzi (cyst from goat)

PLASTIC BAGS

PLASTIC BAGS
Mifuko ya plastiki ni hatari kwa mifugo yako. Huleta hasara na kushuka kwa uzalishaji wa kipato (Pile of bags more than 1Kg removed from one goat kama tunaweza kuona afya isiyoridhisha kwa huyu mbuzi

FRACTURE IN CATTLE

FRACTURE IN CATTLE
Management of fracture

UFUGAJI WA KUKU KWA TIJA

UFUGAJI WA KUKU KWA TIJA
KITABU CHA MWONGOZOUFUGAJI WA KUKU

UFUGAJI WA NGURUWE KWA TIJA

UFUGAJI WA NGURUWE KWA TIJA
KITABU CHA MWONGOZO BORA UFUGAJI WA NGURUWE, TENGENEZA FAIDA NDANI YA MUDA MFUPI

FUGA KWA TIJA

FUGA KWA TIJA
Fahamu kanuni za lishe bora kwa mifugo yako

MBINU ZA UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI

MBINU ZA UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI
MBINU ZA UFUGAJI

Mimea hii ni sumu kwa mifugo yetu husababisha vifo vya ghafla

Mastitis in goat