Ruka hadi kwenye maudhui makuu
Pata huduma zifuatazo" matibabu na chanjo kwa mifugo, tunasimamia miradi ya mifugo, tunatoa Ushauri kwa wafugaji, tunadesign mabanda ya mifugo, huduma ya uhimilishaji, Elimu na Vitabu vya mwongozo bora wa ufugaji, mbegu bora za mifugo +255746031005 KARIBU SANA AFYA MIFUGO AGROVET KIBAHA PICHA YA NDEGE

ZINGATIA HAYA, KUCHAGUA ENEO BORA LA KUFUGIA SAMAKI


VITU VYA KUZINGATIA, KUCHAGUA ENEO BORA LA KUFUGIA SAMAKI

1.     Chanzo kizuri cha maji ya kutosha cha kuaminika na cha uhakika,
2.     Eneo la bwawa liwe na ardhi yenye udongo mzuri
3.     Umiliki wa eneo wa uhakika  ili kuepuka usumbufu na hasara
4.     Eneo lisilokuwa na muinuko mkali
5.     Eneo lisilokuwa na mafuriko
6.     Eneo linalofikika kwa urahisi ili kurahisisha kazi za kila siku
7.     Upatikanaji wa huduma za mtaalam wa ufugaji wa samaki katika eneo husika.
8.     Eneo lisilokuwa na migogoro  
9.  Uhakika wa soko na masoko




KWA USHAURI SAHIHI NA MSAADA ZAIDI JUU YA UFUGAJI WA SAMAKI
a)    Kiasi cha mtaji unaohitajika kwa ajili ya ufugaji wa samaki…….(the resources required for the farm)
b)    Msaada na ushauri juu ya ujengaji wa mabwawa na dizaini ya mabwawa ya samaki (design of ponds and layouts)
c)     Msaada na ushauri juu ya kuendesha mradi wa samaki (how the farm will be managed)
d)    Msaada na ushauri juu ya mpango wa uzalishaji samaki (the production plan)
e)     Hatua kwa hatua ufugaji wa samaki

AfyaMIFUGO Tz tunahakikisha unafuga samaki kwa tija ili kuweza kufikia malengo yako ya muda mfupi wa kati na mrefu.

AfyaMIFUGO Tz
Riziki Ngogo (Vet Doctor)
0763222500/ 0652515242
Afyamifugo.blogspot.com
afyamifugo@gmail.com

Maoni

TUNATOA USHAURI HATUA KWA HATUA KUHUSU UFUGAJI, HUDUMA ZA MATIBABU KWA MIFUGO, TUNABUNI RAMANI ZA MABANDA YA MIFUGO KULINGANA NA AINA YA MIFUGO, MAFUNZO YA MBWA, UFUGAJI KWA MTU BINAFSI NA VIKUNDI HUDUMA ZA CHANJO KWA MIFUGO,KANUNI/FORMULA NZURI ZA VYAKULA VYA MIFUGO TUNASIMAMIA MASHAMBA YA MIFUGO (FARM), TUNATOA MCHANGANUO WA FEDHA UNAOHUSIANA MIRADI YA UFUGAJI 0763222500

PATA MAARIFA FUGA TAJIRIKA

Farmers Platform


Minyoo kwenye mbuzi (cyst from goat)

PLASTIC BAGS

PLASTIC BAGS
Mifuko ya plastiki ni hatari kwa mifugo yako. Huleta hasara na kushuka kwa uzalishaji wa kipato (Pile of bags more than 1Kg removed from one goat kama tunaweza kuona afya isiyoridhisha kwa huyu mbuzi

FRACTURE IN CATTLE

FRACTURE IN CATTLE
Management of fracture

UFUGAJI WA KUKU KWA TIJA

UFUGAJI WA KUKU KWA TIJA
KITABU CHA MWONGOZOUFUGAJI WA KUKU

UFUGAJI WA NGURUWE KWA TIJA

UFUGAJI WA NGURUWE KWA TIJA
KITABU CHA MWONGOZO BORA UFUGAJI WA NGURUWE, TENGENEZA FAIDA NDANI YA MUDA MFUPI

FUGA KWA TIJA

FUGA KWA TIJA
Fahamu kanuni za lishe bora kwa mifugo yako

MBINU ZA UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI

MBINU ZA UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI
MBINU ZA UFUGAJI

Mimea hii ni sumu kwa mifugo yetu husababisha vifo vya ghafla

Mastitis in goat